Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
waswahili bana,ivi we bata ni lazima kusoma thread za mapenzi?kama kwako suala hili sio muhimu basi soma thread nyingine mbona zipo nyingi tu haya ya huku tuachie wenyewe.....mimi nafikiri si bure huyu jamaa kuna kitu anataka toka kwa mtoa mada wetu labda aulizwe hii ni dunia ya ukweli na uwazi......nawasilisha
You Can Say it again. Kuna kitu kinatafutwa hapa. Kwa sisi watu wa mahaba wala hatuoni ubaya wowote wa hii thread wala wa mtoa thread. The boss; endelea kumwaga mavituz ya malavidavi kama kawaida. Wapwa tuko na wewe, siasa tuwaachie ma-Legends.