Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,357
Wasomi? What do you mean? Ambaye hapendi mapenzi wala hausiani na usomi. Ni ugonjwa!
mhh hapa wamekufikisha, wakitaka kukuchokoza wakutengue kwenye sekta ya malavu, haya we hebu niambie faida zako ulizopata kuanzia ulivyoanzaga kufanya hii kitu.