ustawiwajamii
Member
- May 9, 2013
- 7
- 2
ngoja nitest zali leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijaona kipengele cha nguvu za kiume
Faida za pili pili ni nyingi huzuia uwezekeno wa mtu kupata kiharusi, disadvantage yake ni humfaanya mtu akose pumzi kama ni mtumiaji wa mda mrefu afu na ni mvivi wa mazoez haifai. Kwan utashangaa cku ukikimbia distance ndogo tu utahema ka ulikua wakimbia 456km/h! Inafaida sawa na -----
itabidi nilitafute, nashukuru sana, nadhANI HUMO KUNA KAUTAFITI ILA NASISISTIZA KWAMBA JAMAA YANGU ALISHAFANYA UTAFITI KWA MATABIBU WENGI TUKwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
unamaa hamna cha ziada?Apetizer tu.
Kwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
tulitafute tupate ukweliUmenshtua sna
tulitafute tupate ukweli
juhudi zangu hazijazaa matunda badoKweli mkuu
Kwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
KWA WAHINDI NI APETIZER NA ndio maana wanaweka maziwa ili kuondoa ukali hivyo kupata LADHA BADALA YA UKALIApetizer tu.
KWA WAHINDI NI APETIZER NA ndio maana wanaweka maziwa ili kuondoa ukali hivyo kupata LADHA BADALA YA UKALI
Ahahahhaaaaaaaaaa...je madhara ikiwamo kwenda msalani kukata gogo watakiwa kwenda na feni au maji ya barafu.
asante sana kwa udadisi wakoNimejaribu kuchek online side effects zake nying wanasema ni ile burning ambayo inaweza kusababisha ulcers inacse inazidi kwenye intestine na ukiwa na ulcers tayar husababisha maumivu makali yanayo enlarge vidonda and ths can lead to death ila advantage zake ni nying zaid ikiwamo kuzuia baadhi ya kansa sa hapa wataalam wangetuelezea ingesaidia sna
kali zaidi ya sanaMaji ya barafu!!?