Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Mmmm! kama baniani, najua baniani wengi wanapata shida toilet kwa kula pili pili kupindukia, na wengi nasikia huweka feni ya kuwapepea makalioni

Duh! hii thread imenisisimua lakini nimecheka mpaka nimetokwa na machozi.
 
Naomba kuuliza hivi hizi pilipili ndio kwa ujumla ndio zinaitwa chilli pepper au kuna tofauti na kama ndio, nimeona kwenye baadhi ya majarida kuwa ukila sana hizo chilli pepper unakuwa na hatari ya kupata kansa ya tumbo ingawa pia zina faida kwa upande fulani waataalamu mnisaidie.
 
duh nilipooona kichwa cha habari tu, akili yangu ikakimbilia bongo fasta kwenye meza ya pweza, sasa sijuhi ile ni pilipili au chachandu
 
Mkuu X-PASTER si wapenda pilipili wote wapenzi wa kukamata masanga na si wapenda masanga wote walaji wa pilipili na nimeshakutana na wengi katika makundi hayo mawili. Kwa hiyo unaweza kumkuta mpenda pilipili ambaye staftahi ni kama kazi hawezi kuikosa siku yoyote labda kama ni mgonjwa na chakula kimegoma kabisa kupita.

true
kweli kabsa
 
mkuu nakubaliana nawe kwenye suala la mafua na uzito..nilikuwa na mwili hv..sasa cku za hv karibuni nimekuwa mtumiaji mzuri sn wa hii kitu..kuna siku niliweka nyingi mpk machozi yalinitoka..kwa sasa mwili wangu umepungua kdg
 
pilipili mpango mzima,ila toilet inakuwa shida endapo hunywi maji mengi ya kunywa baada ya msosi
 
duh nilipooona kichwa cha habari tu, akili yangu ikakimbilia bongo fasta kwenye meza ya pweza, sasa sijuhi ile ni pilipili au chachandu
Dah! yaani umenikumbusha pweza weye, Mate yamejaa mdomoni.
 
X-PASTER, xp sawa nimeona chilli pepper lakini swali langu bado hujajibu kuwa ni kweli kuizila sana kuna uwezekana wa kusababisha kansa ya tumbo.

2. kwa kiswahili zinaitwaje na pilipili mbuzi na kichaa kwa kiingereza zinaitwaje?
 
Nimekutana na mtu anakula wastani wa pilipili kumi kwa siku na amepewa ushauri na madakatari kwamba hazina madhara yoyote na wala haihusiani na ulevi (sbb yeye wala hanywi pombe) na kwamba pilipili faida yake kubwa ni kuongeza immunity na kukupa UJASIRI

Je unafahamu faida au hasara yyte ya kula pilipili?
 
Mataifa yenye kuongoza kwa kula pilipili.. waHindi, waMexico,waIndonesia,WaSpaini, wamarekani.... !!
 
I mean 10 kwa mlo yaani ugali, kitimoto na pilipili 10
 
Back
Top Bottom