Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Faida za pili pili ni nyingi huzuia uwezekeno wa mtu kupata kiharusi, disadvantage yake ni humfaanya mtu akose pumzi kama ni mtumiaji wa mda mrefu afu na ni mvivi wa mazoez haifai. Kwan utashangaa cku ukikimbia distance ndogo tu utahema ka ulikua wakimbia 456km/h! Inafaida sawa na -----
 
asante sana mkuu kuchangia hoja
 
Kwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
 
Kwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
itabidi nilitafute, nashukuru sana, nadhANI HUMO KUNA KAUTAFITI ILA NASISISTIZA KWAMBA JAMAA YANGU ALISHAFANYA UTAFITI KWA MATABIBU WENGI TU
 
Arusha One ukilipata turushie hiyo mada , hasa tujue mtoa mada ni nani na kama amefanya utafiti au ni kupitia uziefu wake tu wa huko NYUMA
Kwenye gazeti la MTANZANIA la jana kulikuwa na habari inayoelezea kuwa kula pilipili nyingi kwa muda mrefu kunaweza kumsababishia mlaji cancer ya koo. Sasa habari hii tena...MNANICHANGANYA....
 
KWA WAHINDI NI APETIZER NA ndio maana wanaweka maziwa ili kuondoa ukali hivyo kupata LADHA BADALA YA UKALI

Nimejaribu kuchek online side effects zake nying wanasema ni ile burning ambayo inaweza kusababisha ulcers inacse inazidi kwenye intestine na ukiwa na ulcers tayar husababisha maumivu makali yanayo enlarge vidonda and ths can lead to death ila advantage zake ni nying zaid ikiwamo kuzuia baadhi ya kansa sa hapa wataalam wangetuelezea ingesaidia sna
 
asante sana kwa udadisi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…