Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

Pili pili 10 kwa siku? Au plpli hoho? Hiyo moja tu ya maana ukienda toi unasikia kijambio kinawaka moto live au jamaa ana ka ac kiaina kunako masaburi?
 
pia husaidia kwenye mamboyetuuuu...yaleee...kwa wanaume.
 
Pilipili ni nzuri kwa ladha na afya, nakumbuka niliwahi kufanyakazi na myahudi huyu jamaa alikuwa anatafuna pilipili kama karanga. Yeye alipofika hapa kwetu aliomba aletewe aina zote za pilipili na aliletewa kweli akaanza kuonja tukidhani masikhara ee bana si akachagua pilipili kichaa! akawa anaziagiza mpaka aliyekuwa anamtafutia akalima bustani. Bwana huyu alisema ana zaidi ya miaka 15 toka awe mtafunaji wa hiyo kitu hajawahi kuugua ugonjwa wowote ule.

Nadhani tatizo la pilipili si ganda bali mbengu yake hasa pale inapoenda na kuganda kwenye utumbo husababisha kidonda pahala hapo. MziziMkavu anaweza sahihisha kitaaluma hapa.
 
Last edited by a moderator:
xp sawa nimeona chilli pepper lakini swali langu bado hujajibu kuwa ni kweli kuizila sana kuna uwezekana wa kusababisha kansa ya tumbo.

2. kwa kiswahili zinaitwaje na pilipili mbuzi na kichaa kwa kiingereza zinaitwaje?

Sina uhakika kuhusiana na saratani ya tumbo, ila wengi ninao wafahamu wamekuwa wakusumbuliwa sana na kiungulia na wengine vidonda vya tumbo.

Pilipili kichaa = Bird Pepper

Pilipili Mbuzi = Scotch bonnet pia zimefanana na Carolina Reaper
 
Ten ways hot peppers help you be healthy and lose weight
(NaturalNews) Hot peppers are now at the medical community's center of attention due to its promising benefits to the overall health and weight loss process, thanks to its natural compound called capsaicin. This substance works in so many different ways that can guarantee faster shedding of fat without compromising safety. Below are the 10 benefits of capsaicin for healthier weight loss.

Capsaicin boosts metabolism
Capsaicin contains properties that stimulate energy releasing by consuming three percent more calories, especially when taken before exercising. Also, due to faster lipid metabolism, you will consume more calories even while at resting state, like while sleeping.

Capsaicin effectively suppresses the appetite
This compound radically affects the production of the thyroid hormone that controls adrenaline and dopamine - hormones that regulate appetite. By adding hot peppers to every meal, you are cutting your appetite by more than half, just enough for you to eat healthily but not overeat.

Capsaicin increases energy and alertness
Animal testing observed increased energy and alertness levels on test subjects due to capaicin's thermogenic effect.

Capsaicin improves digestion capability
Hot pepper has been used for hundreds of years to help in indigestion and gastrointestinal irregularities. By stimulating the production of digestive enzymes, capsaicin makes nutrient absorption more efficient.

Capsaicin regulates carbohydrate processing
In a study conducted by the University of Maryland Medical Center, it was concluded that capsaicin can control carbohydrate breakdown for more efficient calorie consumption and energy production. It is for this reason that further clinical studies are being conducted toward capsaicin's possible treating function against obesity.

Capsaicin improves fat oxidation
Studies have proven that sufficient amounts of capsaicin can stop the accumulation of fat in the liver by increasing the rate of breaking down lipids and converting them to energy.

Capsaicin improves stamina
According to clinical findings, taking capsaicin-rich foods helps in lasting longer during heavy workouts and aids in faster recovery after every strenuous physical activity. This is possible by increasing the body's oxygen intake by up to 7.5 percent, making the lungs stronger and oxygen absorption by the blood higher.

Capsaicin protects the cells from damages
A piece of hot pepper contains an overwhelming amount of phytochemicals in the forms of carotenoids and flavonoids - two powerful antioxidants that show fighting properties against free radicals, the main causes of cancer.

Capsaicin supplies vitamins
Hot pepper is a rich source of vitamins A and C that can help you fight diseases and strengthen your immune system. These vitamins also work as very potent antioxidants that can fight the signs of aging.

Capsaicin cuts off binging habit
Spicy flavor enhancers naturally make eating less enjoyable because of their numbing effect to the tongue. While hotness works great in small quantities, not many people can eat spicy foods in large amounts.

Learn more: Ten ways hot peppers help you be healthy and lose weight - NaturalNews.com
 
FAIDA YA KULA PILIPILI MBOGA NA PILIPILI KALI.

Pilipili mboga nyekundu inatibu Maradhi mengi mojawapo haya hapa.

(1)Blood Pressure (Maradhi ya Presha) Tumia Unga wa Pilipli mboga nyekundu pamoja na maji ya Moto glasi moja itakusaidia kutibu Maradhi Presha Pilipili,

(2) Unga wa Pilipili mboga nyekundu inasaidia kutibu Mtu aliye gongwa na nyoka uchanje pale ulipo gongwa na nyoka kisha upake unga wa pilipli mboga nyekundu sumu itatoka na utapona.

(3)Unga wa Pilipli mboga nyekundu unga wake inasaidia kutibu Mapigo ya Moyo na Maradhi ya kiharusi pia inasaidia ukila.

(4)Unga wa Pilipli mboga nyekundu unga wake unasaidia Maradhi ya kichwa ukila.

(5) Unga wa Pilipili mboga nyekundu inasaidia kutibu jeraha la kujikata ukitumia inatibu kukata damu isiendelee kumwagika.

(6) Unga wa Pilipli mboga nyekundu inasaidia kutibu Maradhi Mafua yasiyokwisha ukitumia kula huo unga utapona hayo Mafua yasiyo kwisha tumieni jamani huo unga wa Pilipli mboga nyekundu inatibu hayo maradhi makubwa
 
dogo ukila iyo kitu kwa fujo utapata hela kama za manji,go ahead..
 
Mbona nilisoma makala moja kuwa pili pili nyingi na nyama choma husababisha kansa ya koo?
 
Pilipili pia ni dawa nzuri ya kuondoa maumivu ya misuli na maeneo yaliyoteguka.
Namna ya kufanya...
Chukua pilipili (kichaa) zitwange mpaka zilainike halafu zifunge katika kitambaa halafu funga sehemu iliyoumia au kuteguka.
(Dawa karibu zote za kuchua zimetengenezwa kwa pilipili)
 
I mean 10 kwa mlo yaani ugali, kitimoto na pilipili 10

Umeitoa wapi ruhusa ya kula kitimoto mkuu..
Kiingiacho si haramu kwa mujibu wa Paulo..

Ila mungu anasema hivi;

Kumbukumbu la taurati 14:8 "na nguruwe kwa kuwa hacheuwi mwenyezi mungu anasema msile nyama wala mizoga yao msiguse"

Isaya 65:1-5 " kila alaye nyama ya nguruwe atakoma..."
 
Wadau,

Mimi ni mpenzi sana wa kula pilipili wakati wa chakula. Je, kuna faida au hasara zozote zitokanazo na ulaji wa pilipili?

MziziMkavu said;

Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji.Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na unyevunyevu.Mmea huu hukua kufikia urefu wa futi mbili hadi nne.Ina wingi wa vitamini A,pia ina vitamini B,vitamini E,vitamini C,Riboflavin,Potassium na Manganese.

- Jamii nyingi hususani Marekani na bara la Asia wana historia ya kutumia pilipili kichaa kama tiba.Ni dawa yenye nguvu sana na matumizi mengi. Hutumika sana kwa kusafisha damu na kutoa sumu mwilini, pia hutumika kusisimua mzunguko wa damu na kuweka sawa uwiano wa tindikali(acid)mwilini.

Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofauti tofauti ikiwemo moyo, gauti, kupooza, homa, kikohozi, tonsilitis, kichefuchefu na hemorrhoids kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.

MAAJABU YA PILIPILI KICHAA

1. Kutibu kidonda
Hii inaweza kuwa ni ajabu kwa walio wengi lakini ni tiba liyothibitishwa na imekuwa ikitumika miaka kadhaa iliyopita katika nchi mbalimbali.

Sio tu kuzuia kutokwa na damu katika kidonda cha kujikata kama ilivyozoea kutumiwa na wengi huko majumbani kwa miaka mingi bali pia huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda hicho hutumika pia kuondoa sumu mwilini

2. Hufanya mwili kuweza kutumia vyema virutubisho vipatikanavyo kutokana na chakula

3. Husaidia uyeyushaji wa mafuta mwilini/Kuchoma mafuta

4. Pilipili ina antioxidants muhimu kama beta carotene, ina wingi wa vitamini A, C na K hebu tuziangalie vitamini hizo:

A - Vitamini A husaidia kuweka sawa kinga ya mwili pia hutukinga na kansa na magonjwa ya moyo

B. Kazi ya vitamini C ni kuzuia Stroke,magonjwa ya moyo,macho na kansa mbalimbali. Miili ya binadamu haiwezi kujitengenezea vitamini C, hivyo basi tunaweza kupata vitamini C kupitia chakula.

C. Vitamini K- Husaidia katika ukuwaji wa mifupa, pia ni muhimu katika mzunguko wa damu. Pilipili zote huwa na Capsaicin ambayo kazi yake ni kupunguza maumivu, kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.

5. Inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu

6. Huwasaidia watu wanene(over weight) au wanaougua ugonjwa wa kisukari.Hii ni kwa mujibu wa watafiti katika chuo kikuu cha Tasmania uliochapishwa katika American Joarnal of Clinical Neutition mwezi julai 2006.

7. Inasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa INSULIN kwa 60% baada ya kula chakula

8. Husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa RHEMATOID na ARTHRITIS kupata nafuu.

9. Husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja mwilini

10. Husaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua zilizoziba kwa mafua na kukufanya upumue kwa urahisi.

11. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani ya utumbo.

12. Husaidia kuongezeka kiwango cha METABOLIC ambayo husaidia kuchoma mafuta

13. Husaidia kuongezeka kwa kiwango cha METABOLIC kwa 23% ndani ya masaa matatu.

14. Husaidia kupunguza cholestro na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.
 
Pilipili kichaa inaweza kustawi sehemu mbalimbali na inahitaji siku 100 za ukuwaji.Hustawi zaidi kwenye mazingira ya joto na unyevunyevu.Mmea huu hukua kufikia urefu wa futi mbili hadi nne.Ina wingi wa vitamini A,pia ina vitamini B,vitamini E,vitamini C,Riboflavin,Potassium na Manganese.

- Jamii nyingi hususa Marekani na bara la Asia wana historia ya kutumia pilipili kichaa kama tiba.Ni dawa yenye nguvu sana na matumizi
mengi,hutumika sana kwa kusafisha damu na kutoa sumu mwilini,pia hutumika kusisimua mzunguko wa damu na kuweka sawa uwiano wa

tindikali(acid)mwilini.Pilipili kichaa imetumika kwa maradhi tofautitofauti ikiwemo moyo,gauts,kupooza,homa,kikohozi,tonsilatis,kichefuchefu na hemorhoids kwa miaka mingi huko Asia na mashariki ya mbali.

MAAJABU YA PILIPILI KICHAA;
1.Kutibu kidonda-Hii inaweza kuwa ni ajabu kwa walio wengi lakini ni tiba liyothibitishwa na imekuwa ikitumika miaka kadhaa iliyopita katika nchi mbalimbali.

Sio tu kuzuia kutokwa na damu katika kidonda cha kujikata kama ilivyozoea kutumiwa na wengi huko majumbani kwa miaka mingi bali pia huzuia fangasi na bakteria kuingia katika uwazi wa kidonda hicho hutumika pia kuondoa sumu mwilini

2.Hufanya mwili kuweza kutumia vyema virutubisho vipatikanavyo kutokana na chakula

3.Husaidia uyeyushaji wa mafuta mwilini/Kuchoma mafuta

4.Pilipili ina antioxidants muhimu kama beta carotene, ina wingi wa vitamini A,C na K hebu tuziangalie vitamini hizo:

A - Vitamini A husaidia kuweka sawa kinga ya mwili pia hutukinga na kansa na magonjwa ya moyo

B. Kazi ya vitamini C ni kuzuia Stroke,magonjwa ya moyo,macho na kansa mbalimbali. Miili ya binadamu haiwezi kujitengenezea vitamini C, hivyo basi tunaweza kupata vitamini C kupitia chakula.

C. Vitamini K- Husaidia katika ukuwaji wa mifupa, pia ni muhimu katika mzunguko wa damu. Pilipili zote huwa na Capsaicin ambayo kazi yake ni kupunguza maumivu, kuzuia kansa na magonjwa ya moyo.

5. Inasaidia sana kusawazisha sukari kwenye damu

6. Huwasaidia watu wanene(over weight) au wanaougua ugonjwa wa kisukari.Hii ni kwa mujibu wa watafiti katika chuo kikuu cha Tasmania uliochapishwa katika American Joarnal of Clinical Neutition mwezi julai 2006.

7. Inasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti kwa kiasi kikubwa INSULIN kwa 60% baada ya kula chakula

8. Husaidia kupunguza maumivu na uvimbe kwenye tezi na vilevile huwasaidia wagonjwa wa RHEMATOID na ARTHRITIS kupata nafuu.

9. Husaidia kuondoa mkusanyiko wa damu sehemu moja mwilini

10. Husaidia kufungua kwa haraka na kwa ufanisi pua zilizoziba kwa mafua na kukufanya upumue kwa urahisi.

11. Husaidia kupunguza uwezekano wa kupatwa na saratani ya utumbo.

12. Husaidia kuongezeka kiwango cha METABOLIC ambayo husaidia kuchoma mafuta

13. Husaidia kuongezeka kwa kiwango cha METABOLIC kwa 23% ndani ya masaa matatu.

14. Husaidia kupunguza cholestro na kupunguza kiasi cha fibrin katika damu.

UKIWA NA SWALI LOLOTE USIKOSE KUNITAFUTA Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
madhara yake ukiishika pilipili bila zen ukaenda kujisaidia haja kubwa au ndg utaona utamu wake.au kushika machoni

faida inaongeza urijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…