Faida za ulaji wa pilipili kwa mwili wa binadamu

MziziMkavu, wapo watu ambao wana vivimbe sehemu ya haja kubwa. Ama nimeambiwa kula pilipili husababisha tatizo hili, au kufanya hali iwe mbaya kama tayari unalo tatizo.

Tuwekane sawa hapa!
 
Last edited by a moderator:
Napenda kujuzwa kama kuna athari(faida na hasara) yoyote kiafya ya ulaji wa pilipili.

Aidha nina maswali mengine.

1.Nini athari watoto wapatayo kutokana na ulaji wa nyanya mbichi?
2.Ni nini chanzo na tiba ya kichefuchefu na kutapika mf unaposafiri kwenye gari.

NB: Mimi ni mwathirika wa hilo pindi ninaposafiri masaa ya asubuhi sana.

 
Habari wana JF,

Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu,

Nimekua mtumiaji mkubwa wa pilipili kwenye chakula tangu nimeanza kujitambua, ninapokula bila pilipili hua nahisi chakula hakijakamilika, imefikia wakati mpaka ninapoknywa chai pia natumia pilipili, kuna watu wanadai ina madhara lakini sijapata uhakika so nimeona niulete uzi huu hapa jukwaani kwa wanaojua 'impact' yake kiafya wanisaidie.

Nimewasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maelezo yako mtoa mada unaonyesha umebakiza kunywea tu na maziwa ya moto hiyo pilipili,vingine vyote umejaribisha tayari...una addiction mkuu!
 
Pole sana kwa..ulevi wa pilpili .ila unaitesa INI lako maana pilipili huingia tumboni km sumu so huanzia kwenye INI ... Ngoja waje wajuz wa mambo

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
 
too much z harmful

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Wasiwasi wangu ukioa isije fikia mahali unapaka pilipili Ili ''ule'',
 
Pole sana kwa..ulevi wa pilpili .ila unaitesa INI lako maana pilipili huingia tumboni km sumu so huanzia kwenye INI ... Ngoja waje wajuz wa mambo

GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
Noted mkuu, ntalifanyia kazi hilo
 
Hivi mtu kama huna ufahamu na jambo ukibaki kimya......na kungoja michango ya wenye weredi unapungukiwa na nini....!!!?

Mtoa mada ameuliza swali litakalowafaidisha wengi....maana nyingine amewasemea watu wengine.......

Kiuungwana tu kama unajua huna weredi na mada inayohitaji taaluma....kuwa tu mstaarabu kwa kukaa pembeni huku ukifaidika na darasa kutoka kwa wenye weredi......

Word is enough for the wise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…