Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hasara zake kutokula hutopata faida zake KitukoHasara au athari zake ni nini? MziziMkavu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasara zake kutokula hutopata faida zake KitukoHasara au athari zake ni nini? MziziMkavu
Vivimbe kwenye haja kubwa havisababishi mtu kula pilpili. Unaweza kupitia hapa.MziziMkavu, wapo watu ambao wana vivimbe sehemu ya haja kubwa. Ama nimeambiwa kula pilipili husababisha tatizo hili, au kufanya hali iwe mbaya kama tayari unalo tatizo.
Tuwekane sawa hapa!
True waindonesia bila plpl awaliMataifa yenye kuongoza kwa kula pilipili.. waHindi, waMexico,waIndonesia,WaSpaini, wamarekani.... !!
Noted mkuu, ntalifanyia kazi hiloPole sana kwa..ulevi wa pilpili .ila unaitesa INI lako maana pilipili huingia tumboni km sumu so huanzia kwenye INI ... Ngoja waje wajuz wa mambo
GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA
Kama sumu!!!!???Pole sana kwa..ulevi wa pilpili .ila unaitesa INI lako maana pilipili huingia tumboni km sumu so huanzia kwenye INI ... Ngoja waje wajuz wa mambo
GARI BOVU HUVUTWA NA ZIMA