Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Ili tuweze kuchangia hoja yako Kwa uelewa, ilifaa ungeambatisha na chanzo cha taarifa yako mtoa mada.

Japo Kwa hali ya maisha ilivyo, kuongeza Kodi bandarini kutafanya gharama za maisha kuwa juu zaidi

Jana bei tu ya 💲1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,605 ya Tanzania.

Hali ikiendelea hivi, maisha yatazidi kuwa ghali 🙌
 
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

View attachment 2998153
Wewe housegirl wa Mbowe acha upotoshaji. Kilichopanda sio utaoaji wa mizigo bali ni gharama za usafirishaji mizigo hadi bandari ya Dsm. DP world hawahusiki na kupanda kwa gharama za shipping. Hilo ni tatizo la dunia nzima ambalo limetokea wiki hii. Pia lilionekana kutokea. Sababu kubwa inayotajwa kupandisha bei za shipping ni uharamia baharini. Nimekuwekea link hapo ukasome.
 
Kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya duniani kote kazi yake ni ipi hadi maharamia waathiri maisha ya dunia nzima?.

ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…