Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Unajishushia heshima yako kidogo uliyo nayo. Shipping costs zimepanda dunia nzima. Kama ni hivyo wamarekani, waingereza, wafaransa na mataifa mengine wanatakiwa wailaumu CCM na DP World kupandisha gharama za shipping duniani kote.
Imepanda Kwa asilimia ngapi
 
Freight Charges ndio zimepanda, anayekusanya ushuru Bandarini ni TRA.

Bandari au DP World kazi yake ni kuipa meli nafasi ya kushusha/kupakia Container. Bandari anakutoza wharfage na Handling charges.

Jaribu kupitia TPA Tarriff Book utaona gharama za lift on/lift off, Container stuffing/destuffing,Straping,verification
 
Ni kweli freight charges zimeongezeka.
sasa mbona freight charge hzihusiani kabisa na dp world huu uzushi wa erythrocyte unaletwa na nini ? hebu ajaribu kuficha ujinga wake anatia aibu kuwa na taifa lenye watu mbumbumbu kama huyu
 
Wewe housegirl wa Mbowe acha upotoshaji. DP world hawahusiki na kupanda kwa gharama za shipping. Hilo ni tatizo la dunia nzima ambalo limetokea wiki hii. Pia lilionekana kutokea. Sababu kubwa inayotajwa kupandisha bei za shipping ni uharamia baharini. Nimekuwekea link hapo ukasome.
View attachment 2998169
Hata wewe umejitoa akili bila kutarajia. Mtoa mada kasema gharama za kutoa mzigo wa kontainer moja na si kusafirisha toka Huko hadi Dsm port. Yaani wharfage and handling charges na si container freight charges.
 
Back
Top Bottom