Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

View attachment 2998153
Watanzania tukatae jamani huu wizi wa bandari yetu. Ni uongo mtupu wanatumia. Walipoona tumejua ukweli ile concession ya dubai ilivyo haifai hata kulumangia ugali wakaja na ulaghai huu wa mkataba wa DP wakisema umezingatia maoni ya wananchi na kwamba ni kwa gati 2 tu. Sasa wametuambia ni gati namba 1 hadi gati namba 7. Bado tutaambiwa wamepewa bandari zote sawa na lile kwa umoja tulikataa. Mjue hii DP pamoja tunaambiwa ni ya dubai humo ni mabebru watupu wakishirikiana na mamwinyi wafalme wa UAE. Kwa wale tunafuatilia mitandaoni kuna taarifa UAE wananunua ardhi kote afrika tutakuja kujikuta inabidi kupambana kujikomboa. Kuna nchi ardhi zao zimenunuliwa hadi asilimia 40. Sisi wanasema asilimia 8 wamekwisha nunua. Bia shaka itakua ni pamoja na loliondo.
 
Future investments in Tanzania waterfront infrustructure would be successful if they are well thought out, collaborative, and accompanied by years of steady, long-term engagement aiming at empowerment and capacity building of local entities
 
Back
Top Bottom