Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

And the best thing kuhusu all these Shenanigans ? Ni kwamba hapo hio pesa sio yetu yote 100 Percent yaani tunajikamua kunufaisha wengine ?

Alafu tunapoteza muda kuhangaika na mikia (kina Makonda) wakati vichwa huku zinafanya yao kwa kuleta Havocs !!!!

It gonna get worse and worse..., na sijui kama it will ever get better in our lifetime....
 
Acha kujidharaulisha kwa kushindwa kujua gharama za shipping zimeongezeka dunia nzima na hazina uhusiano wowote na DP World wala serikali ya Tanzania.
 
Wewe housegirl wa Mbowe acha upotoshaji. DP world hawahusiki na kupanda kwa gharama za shipping. Hilo ni tatizo la dunia nzima ambalo limetokea wiki hii. Pia lilionekana kutokea. Sababu kubwa inayotajwa kupandisha bei za shipping ni uharamia baharini. Nimekuwekea link hapo ukasome.
View attachment 2998169
Chanzo chako cha taarifa ulichoweka hapa kinasema container shipping rates zimepanda kwa 30%..

Hiyo rate ya DPW kwa bandari za Tz, kwa mujibu ya mtoa mada, imepanda kwa 260% !!!

Kwa hiyo majibu yako hayatoshelezi
 
And the best thing kuhusu all these Shenanigans ? Ni kwamba hapo hio pesa sio yetu yote 100 Percent yaani tunajikamua kunufaisha wengine ?

Alafu tunapoteza muda kuhangaika na mikia (kina Makonda) wakati vichwa huku zinafanya yao kwa kuleta Havocs !!!!

It gonna get worse and worse..., na sijui kama it will ever get better in our lifetime....
Bandari tulikopa Benki ya Dunia, kuiboresha. Ili tuwagawie wajomba watukamue, huku tukilipa deni!
Hizi ni akili nzuri?
 
Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

View attachment 2998153
Kwamba hiyo bei imepanda ambako DP World ana operate au? Maana msije potosha hapa.

Toa maelezo ya kutosheleza maana nyie Machadema Kwa uzushi hamjambo mnadhani Kila mtu ni ndio Mzee si ndio?
 
Chanzo chako cha taarifa ulichoweka hapa kinasema container shipping rates zimepanda kwa 30%..

Hiyo rate ya DPW kwa bandari za Tz, kwa mujibu ya mtoa mada, imepanda kwa 260% !!!

Kwa hiyo majibu yako hayatoshelezi
Wewe mpumbavu kusafirisha mzigo toka Dar hadi Morogoro gharama itakuwa sawa na kusafirisha kutoka Dar hadi Bukoba? Halafu DP world ni shipping line? Ficheni upumbavu wenu.
 
Wewe kenge, chawa wahed, jinga kabisa. Unaleta uchawa kwenye mambo serious?!
Kama hujui kitu tulia, siyo unaleta hapa vijitaarifa vya UONGO visivyokidhi haja🚮 🚮
 
Hii nchi kila kitu siasa. Mmeambiwa sababu za kupanda gharama za usafirishaji ni kutokana na meli kuzunguka njia ndefu kutokana na mambo ya Yemen huko redsea ila sasa kutokana na ujinga wetu wengi wataambiwa sababu ni DP-WORLD
 
Back
Top Bottom