King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Serikali haikupandisha bei yoyote, kilichopanda ni "freight" ambayo ni usafirishaji kutoka nje, yaani gharama za kusafirisha zimepanda kutoka nje. Tanzania haihusiki wala DP World hawahusiki.
Wakulaumiwa na mazqyuni, kimbembe wanachokifanya Wayemeni kuzuia meli za mazayuni kupita kando ya bahari yao maana yake meli zinazopita ni kidogo sana na makampuni na bima yameziongezea bei, gharama siku zote zote zinarudi kwa mlaji.
Umeruka "JOKOM" umekanyaga "VIMA".
Mwanzo ulisema ni uongo halafu kwenye maelezo unasema imepanda kwa mlaji wa mwisho.
Kama mwanzo ilikuwa kutoa dola 2500 na sasa ni 9000 baada ya kuja DP WORLD ,kwanini tusisime imepanda regardless ya hao mazayuni wako.