Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Najuta kwanini nilipinga uwekezaji wa DP WORLD kwenye Bandari zetu, nadhani nilielewa vibaya kutokana na kupotoshwa

View attachment 2998153
Hiyo dollars 9000 fafanua ni malipo gani? Bandarini kuna malipo ya (1) Handling (2) Warfage, (3) Ushuru wa Fordham (4) CFS charges. Hizo 9000 finally caver nini? Na malipo yanahusu wadau tofauti hapo na DP wold wamepunguza nini? Fafanua
 
Ninakuweka kwenye Ignore list
Huwa I don’t deal with small minds.

One plus one equal to two , does not equal to anything else even if there can be thousands of answers
Wewe punguani ukimweka mtu kwenye ignore list atapungukiwa na nini?
 
Sio mpuuzi wa chinichini. Huwa ni mpuuzi wa wazi kabisa
Hua mpuuzi sana, yeye akiona kihabari mtandaoni akahisi kitampatia sifa akikileta hapa anakurupuka nacho bila hata kujiridhisha na ukweli na uhalali wa habari husika. Akibanwa athibitishe uhalali wa habari husika anakwambia wewe unae mbana ndo ulete chanzo cha habari. Cha ajabu anajiita bilionea, sasa unajiuliza huu ubilionea alio nao aliupataje kwa anavokurupuka, unabaki na jibu moja ni aidha ni ubilionea wa ndotoni au wa kafara za nyumbu wenzie.
 
Afadhali Kama umekubali kwamba gharama zimepanda

Ok Sasa tuendelee na mjadala
Mbona watanzania mnakua kama mapunguwani. Sawa gharama zimepanda umejua sababu za kupanda gharama ni nini? Taarifa zimesema usafirishaji baharini ndio chanzo cha gharama kupanda haya hapo DP-WORLD anahusika vipi na gharama za usafirishaji baharini? Hii Tanzania nimegundua watu wajinga ni wengi sana.
 
Back
Top Bottom