Faida za Uwekezaji wa DP WORLD Bandarini zaanza kuonekana, Hongera Rais Samia

Ili tuweze kuchangia hoja yako Kwa uelewa, ilifaa ungeambatisha na chanzo cha taarifa yako mtoa mada.

Japo Kwa hali ya maisha ilivyo, kuongeza Kodi bandarini kutafanya gharama za maisha kuwa juu zaidi

Jana bei tu ya 💲1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,605 ya Tanzania.

Hali ikiendelea hivi, maisha yatazidi kuwa ghali 🙌
Mwafa
 
Ki
Kazi ya vyombo vya ulinzi na usalama vya duniani kote kazi yake ni ipi hadi maharamia waathiri maisha ya dunia nzima?.

ccm
ufupi ni kwamba Dunia Kwa Sasa inatawaliwa na wahalifu .
Hasa nchi za Magharibi.
Ubepari ni Unyama. Alisema Mwalimu Nyerere.

Ubepari = Unyama.

Kwa hiyo nchi za Kibepari ni nchi za Kinyama.
Dunia Iko mikononi mwa wanyama.
 
Tupe ukweli mkuu
Serikali haikupandisha bei yoyote, kilichopanda ni "freight" ambayo ni usafirishaji kutoka nje, yaani gharama za kusafirisha zimepanda kutoka nje. Tanzania haihusiki wala DP World hawahusiki.

Wakulaumiwa na mazqyuni, kimbembe wanachokifanya Wayemeni kuzuia meli za mazayuni kupita kando ya bahari yao maana yake meli zinazopita ni kidogo sana na makampuni na bima yameziongezea bei, gharama siku zote zote zinarudi kwa mlaji.
 
Ili tuweze kuchangia hoja yako Kwa uelewa, ilifaa ungeambatisha na chanzo cha taarifa yako mtoa mada.

Japo Kwa hali ya maisha ilivyo, kuongeza Kodi bandarini kutafanya gharama za maisha kuwa juu zaidi

Jana bei tu ya 💲1 ilikuwa ni sawa na shilingi 2,605 ya Tanzania.

Hali ikiendelea hivi, maisha yatazidi kuwa ghali 🙌
Kiongozi atakwambia kwetu ni nafuu maana USA fedha wanalipa container $5000
 
Serikali haikupandisha bei yoyote, kilichopanda ni "freight" ambayo ni usafirishaji kutoka nje, yaani gharama za kusafirisha zimepanda kutoka nje. Tanzania haihusiki wala DP World hawahusiki.

Wakulaumiwa na mazqyuni, kimbembe wanachokifanya Wayemeni kuzuia meli za mazayuni kupita kando ya bahari yao maana yake meli zinazopita ni kidogo sana na makampuni na bima yameziongezea bei, gharama siku zote zote zinarudi kwa mlaji.
Ok sawa angalau umetoa ufafanuzi unaoeleweka
INGAwa bado sijui Kama ni sahihi gharama kupanda kwa haraka hivyo
Hilo ongezeka litakuwa kubwa Sana

Pia inasikitisha Sana Kama mazayuni yamewaagiza Yemeni wazuie meli zote hata zinazokuja Tanzania
Kiukweli Tanzania ni sisi mazuyuni wa Tanzania kwa Yemeni kutii maagizo ya kizuia Hadi meli za Tz
 
Kama taarifa hii ni ya kweli tunaelekea kubaya. Gharama hiyo watakaoumia ni mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom