mazoezi ndo kila kitu asee jitahidi sana nusu saa au saa kwa siku.nikweli ulivosema ila kwa urahisi tuu uwe unatafuna vipande vitatu vya tangawizi asubuhi na jioni muda wa kulala.pia unaweza saga tangawizi mbichi ukaichemsha ukawa unakunywa asubuhi na jioni akikisha unaweka inakuwa kali
pia unaweza chukua asali kijiko kimoja ukamix na na mdalasini.unatumia asubuhi na jioni.yaani unakuwa unaramba.au unaweza chemsha tangawizi ukamix na mdalasini hapo mzuka tuu.
kingine jitahidi kutumia sana matunda km maparachichi,ndizi,carrots,tikiti pia kutafuna nyanya chungu mbichi
mwisho mazoezi cna asee pia unapokuwa unapiga mzigo jitahidi uvute hisia za kazi hyo na jiamini kidume.pia jitahidi kufanya mazoezi ya kubana mkojo kwa muda unaachia hii itakusaidia hata ukihisi bao linakuja unaweza kuzuia japo c rahisi.
[HASHTAG]#asante[/HASHTAG] sana
Sent using
Jamii Forums mobile app