Faida za vitunguu saumu kwa wanaume na jinsi ya kutumia

Ahsante mkuu umesomeka ubarikiwe
 
Kwanini nyuzi nyingi za njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume zinaletwa na wanawake /wadada wa Jf. Naomba kufahamishwa juu ya hilo.


#naenda_zimbabwe
Wanataka wafurahie tendo mkuu. ASA wewe mwanaume unatia tu baada ya seconds 30 inaanza ahaaaashiiii. Manina walah
 

Mkuu hiyo ni dawa ya magonjwa mengi sana,mimi huwa natumia tembe 3 zilizomenywa na kukatwa vipande vidogo vidogo nameza pamoja na mtindi glasi moja asubuhi siku 5 kwa wiki.Nafanya hivi kila miezi 2 halafu napumzika mwezi 1.

Imenisaidia sana kwenye BP kutoka 140/90 hadi 124/83 ,na blood sugar and cholesterol is normal.
 
Kula vitunguu gunia, Ila kama hu a hela ya kula una njaa, una stress kilele itakuwa story mbaya sana kwako
 
Hata mm hapa cjaelewa kbsaa, labda ni mtindi au fresh
nadhani labda ni ule mtindi usiotoka viwandani kwenye makemikali kwa kuwa tiba ina onekana kiasilia zaidi hivyo ni mtindi fresh kutoka kwa ng'ombe, mbuzi nk bila kupita ktk kemikali zozote zile au kuongezwa vikemikali

kumbuka kuna maziwa fresh pia. naisi kutakuwa na mtindi fresh.

Bado naisi na kuzani, hivyo sijapata jibu.
 
Mkuu naongezea apo, akituma text kwa man mwenzake anamuita My, Wangu, na maneno mengine kama,,, Nesheeedah, Veepeee?,,,,, Mwanaume kutumia haya maneno sio kabisa, inaboa kinoma,,,,,, πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
huwa nakasirika sana na sms sijibu
 
Haya yote ni kupoteza muda, acha stress, fanya mazoezi,kunywa maji ya kutosha,acha kula vyakula vyenye mafuta mengi kama Chipsi n.k. hilo tatizo litakwisha mara moja.
 
ha ha haa!! wewe pita tu hawa watu watatuuwa.

Juzi niliona uzi wa mlengo huu huu dawa ikawa sijui magome ya mronge sijui mbegu yaani!!!
Hilo tatizo limezidi miaka hii sidhani kama wazee wa zamani nao walikuwa wanatafuta tiba mbadala kiasi hiki, hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…