Uchaguzi 2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

Uchaguzi 2020 Faida zitatazotokana na upinzani kumweka Tundu Lissu au Bernard Membe kugombea Urais

Tundu lissu anaweza kua hazina lakini baada ya magufuli, unajua waatu hawana imani na ccm ila watu wanampenda magufuli ina maaana baada ya magufuli kumaliza mda wake, itakua ni ngumu sana ccm kupata mwenye hio spidi ya magu! ina maaana upinzani mkicheza karata zenu vizuri kujiimarisha hiki kipindi magu anamalizia mda wake 2025 mkimnyanyua lissu mmemaliza mchezo ila kama mnawaza kuchukua nchi hii oktoba hio sahau na wala usipoteza mda wako! watu wako kwenye mpango wa kumlazimisha aongeze mda hata awamu ya pili haijaanza
Time will tell
 
Time will tell

hakuna haja hata ya time will tell, yaaani kwa saaahv tafuteni tu wabunge! battling magufuli is impossible , sio tz tu even outside tz

1594116497914.png




1594116650430.png


ya upinzani staki kuyasema maaana ni aibu, tafuteni tu wabuunge kwa saaahv
 
Kwa trend inavyo kwenda, naona vile vyama mapandikizi vimesha anza kuonyesha muelekeo wao. TLP, na UDP wamesha vaa miwani mweusi na kutoka hadharani kwamba chaguo lao ni Ccm. Wamesha vutiwa zao, NCCR wao ni muda tuu una subiriwa na wao waonyeshe unafiki wao wa kiwango cha changarawe, kama tunavyo subiria CUF na wengine.
Baada ya hayo kutimia watabaki CHADEMA na ACT WAZALENDO, wakipeleka majina ya wagombea wa urais, Ccm ita wawekea pingamizi, na Tume ya Magufuli itawapiga panga abaki Yesu wa Ccm peke yake. Huo ndio mchezo unao andaliwa sasa hivi.
Upinzani kaeni macho sana. Tume haiko upandw wenu..

Tuchukulie kuwa MEMBE na LISSU mmoja wao anasimama kukabiliana na CCM/Magufuli...

Umesema, CCM wamejiandaa kuweka mapingamizi ili abaki "Yesu wao tu"...

Unadhani nini itakuwa msingi wa mapingamizi hayo kwa kila mmoja Membe na Lissu?
 
Back
Top Bottom