Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Time will tellTundu lissu anaweza kua hazina lakini baada ya magufuli, unajua waatu hawana imani na ccm ila watu wanampenda magufuli ina maaana baada ya magufuli kumaliza mda wake, itakua ni ngumu sana ccm kupata mwenye hio spidi ya magu! ina maaana upinzani mkicheza karata zenu vizuri kujiimarisha hiki kipindi magu anamalizia mda wake 2025 mkimnyanyua lissu mmemaliza mchezo ila kama mnawaza kuchukua nchi hii oktoba hio sahau na wala usipoteza mda wako! watu wako kwenye mpango wa kumlazimisha aongeze mda hata awamu ya pili haijaanza
Time will tell
Ni ushauri mzuri pia. Tusubiri!hakuna haja hata ya time will tell, yaaani kwa saaahv tafuteni tu wabunge! battling magufuli is impossible , sio tz tu even outside tz
View attachment 1499864
View attachment 1499865
ya upinzani staki kuyasema maaana ni aibu, tafuteni tu wabuunge kwa saaahv
Kwa trend inavyo kwenda, naona vile vyama mapandikizi vimesha anza kuonyesha muelekeo wao. TLP, na UDP wamesha vaa miwani mweusi na kutoka hadharani kwamba chaguo lao ni Ccm. Wamesha vutiwa zao, NCCR wao ni muda tuu una subiriwa na wao waonyeshe unafiki wao wa kiwango cha changarawe, kama tunavyo subiria CUF na wengine.
Baada ya hayo kutimia watabaki CHADEMA na ACT WAZALENDO, wakipeleka majina ya wagombea wa urais, Ccm ita wawekea pingamizi, na Tume ya Magufuli itawapiga panga abaki Yesu wa Ccm peke yake. Huo ndio mchezo unao andaliwa sasa hivi.
Upinzani kaeni macho sana. Tume haiko upandw wenu..