Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??
Hapo nimejaribu kukufanya ufikirie zaidi, inaposemwa Mungu anasikia basi si lazima ifanane na viumbe wake, usikivu wako wewe unamipaka, usikivu wa Allah hauna mipaka, anasikia sauti za viumbe wake wote kwa wakati mmoja na anajua kila nafsi kwa kila inachowaza na kusema!! Nimejibia namba 1.
Sent using
Jamii Forums mobile app