mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
wewe bibi, asiyejua maana usimwambie maana,baki na pumba zako kujilalamisha kila kukicha kama mudi mzee wa porojo!Umelifanyia nini la maana Taifa lako kwa kufaidika na mfumo wa elimu?
Hii tafiti ilifanywa na shirika au taasisi gani ya kuaminika??Faizafoxy. Naomba istilahi yako kwamba waislamu wengi vijana hawaoni umuhimu wa kusoma shule na elimu dunia. Mfano Magomeni makanya, manzese,Tandika,Temeke hata mpaka Rufiji vijana wengi hawapendi kwenda shule kuelimika. Je ni asili,au kurithi au genetiki
Matokeo yake drug mules wengi hapa nchini wanatokea dini ya kiislamu .
Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??Ngoja nikuulize Faiza Foxy
1° ndani ya Qur'an kuna aya zaid ya 9 zinamtaja mungu kuwa anasikia na pia anaona
Swali langu je anasikia vipi wakati kwa mijibu wa Qur'an mungu hafanani na kiumbe yeyote?
2° Uwepo wa mungu hutokana na Imani kwanini Uwepo wa shetani utokane na Mungu?
3° nini chanzo cha uhai wa mungu?
4° kwanini mungu matukio yake utokea katika nyakati maalum je mungu anamahusiano na elimu ya science?
We ndie usemae ila mungu asema mwenyewe ktk qur an ( samiu baswyiru) asikia pia anaona ni hakika aona kwa macho na asikia kwa masikio kwa mujibu wa qur an si masikio ya bilika au kitu kingine ni maskio ya kimaumbile sasa mungu iweje asifanane na viumbe wake?Mfani; Birika ina mkono, bilauri ina mkono, ndoo inamkono na hata wewe pia unamkono, tukisema mkono wa binadamu haufanani na kiumbe chochote tutakosea kwakuwa kuna viumbe vingine vinamikono kama nilivotaja hapo juu??
Hapo nimejaribu kukufanya ufikirie zaidi, inaposemwa Mungu anasikia basi si lazima ifanane na viumbe wake, usikivu wako wewe unamipaka, usikivu wa Allah hauna mipaka, anasikia sauti za viumbe wake wote kwa wakati mmoja na anajua kila nafsi kwa kila inachowaza na kusema!! Nimejibia namba 1.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuulize Faiza Foxy
1° ndani ya Qur'an kuna aya zaid ya 9 zinamtaja mungu kuwa anasikia na pia anaona
Swali langu je anasikia vipi wakati kwa mijibu wa Qur'an mungu hafanani na kiumbe yeyote?
2° Uwepo wa mungu hutokana na Imani kwanini Uwepo wa shetani utokane na Mungu?
3° nini chanzo cha uhai wa mungu?
4° kwanini mungu matukio yake utokea katika nyakati maalum je mungu anamahusiano na elimu ya science?
We ndie usemae ila mungu asema mwenyewe ktk qur an ( samiu baswyiru) asikia pia anaona ni hakika aona kwa macho na asikia kwa masikio kwa mujibu wa qur an si masikio ya bilika au kitu kingine ni maskio ya kimaumbile sasa mungu iweje asifanane na viumbe wake?
kwanini waislamu mmetofautiana katika swala la imani, kila mtu anakuambia lake na ubaguzi wa misikiti
na vipi kuhusu kutumia agano la kale. kwa waislama, maana kuna sheria mpaka sasa hazitakiwi kuwepo katika diniii ya kislamSijaona hizo tofauti na "ubaguzi wa misikiti". Nijuavyo misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu na si ya watu binafsi.
Toka nizaliwe sijawahi kukatazwa kufanya ibada msikiti wowote ule na yeyote yule. Wewe ni msikiti upi ulienda ukabaguliwa?
kwa hiyo dini yenu ina ruhusu mtu kupigwa mawe mpaka kufaaaHayo ni maneno kama ya kwenye khanga tu. Uislam ni mmoja tu.
Hujanijibu swali langu, hujaliona au umeamuwa kuuchuna tu?