Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

FaizaFoxy nilisoma mahali kua wamisri wa zaman walikua weus hivi ni kweli kihusu hili? Pia mussa na yesu was all black people , have you ever came across those?

Sayansi inaamini binaadam wote walikuwa weusi, kuwa mweupe ni upungufu wa "Melanin".
 
Naomba kuuliza swali ambalo ni Private,

Siku za hivi karibuni ulikuwa uonekani, jambo ambalo baadhi ya member walizusha kuwa umeaga dunia...!!
 
Kumbuka: Asiesoma asiyoyajuwa ni kidogo sana na anaesoma asiyoyajuwa ni mengi sana.
 
Madam, je ni kweri utawala huu umekubana kama alivyobanwa mzee wetu wa ndovu hadi uamue kukaa kimya? Kuna gamba moja hapo kakuomba mludi kwenye majukwaa yale lakini naona umempotezea.

Kuikabidhi nchi washamba kuna gharama yake
 
Jifunze kuandika vizuri. Kiswahili ni kizuri sana kikiandikwa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…