Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

FaizaFoxy nilisoma mahali kua wamisri wa zaman walikua weus hivi ni kweli kihusu hili? Pia mussa na yesu was all black people , have you ever came across those?

Sayansi inaamini binaadam wote walikuwa weusi, kuwa mweupe ni upungufu wa "Melanin".
 
Naomba kuuliza swali ambalo ni Private,

Siku za hivi karibuni ulikuwa uonekani, jambo ambalo baadhi ya member walizusha kuwa umeaga dunia...!!
 
Labda ungesema uulizwe maswala ya dini yako mana naona ndio unayoulizwa sana. Na watu ambao wanatafuta sana kuijua dini kuliko Mungu ndio hawahawa mabingwa wakunukuu na kukariri vipengele Ili kujaji watu, kuonyesha wao ni zaidi kwa manufaa yao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kumbuka: Asiesoma asiyoyajuwa ni kidogo sana na anaesoma asiyoyajuwa ni mengi sana.
 
Madam, je ni kweri utawala huu umekubana kama alivyobanwa mzee wetu wa ndovu hadi uamue kukaa kimya? Kuna gamba moja hapo kakuomba mludi kwenye majukwaa yale lakini naona umempotezea.

Kuikabidhi nchi washamba kuna gharama yake
 
Jifunze kuandika vizuri. Kiswahili ni kizuri sana kikiandikwa vyema.
 
Back
Top Bottom