FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nikapige box canada nifanyie mpango mama FaizaFoxy
Kwenda Canada ni rahisi sana, pitia hii tovuti nakuwekea link hapo chini, ukikidhi vigezo unaenda na baada ya miaka mitatu tu unaweza kuwa raia wa Canada.
Immigrate to Canada - Canada.ca
Ww mtoto mamayako huyuMbna haujibu pm yangu we mrembo
Mhh wajuaje mkuuWw mtoto mamayako huyu
Mashallah, bidada umerudi! ShikamoKwenda Canada ni rahisi sana, pitia hii tovuti nakuwekea link hapo chini, ukikidhi vigezo unaenda na baada ya miaka mitatu tu unaweza kuwa raia wa Canada.
Immigrate to Canada - Canada.ca
Labda ungesema uulizwe maswala ya dini yako mana naona ndio unayoulizwa sana. Na watu ambao wanatafuta sana kuijua dini kuliko Mungu ndio hawahawa mabingwa wakunukuu na kukariri vipengele Ili kujaji watu, kuonyesha wao ni zaidi kwa manufaa yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa [emoji2][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]Kumbuka: Asiesoma asiyoyajuwa ni kidogo sana na anaesoma asiyoyajuwa ni mengi sana.
Madam, je ni kweri utawala huu umekubana kama alivyobanwa mzee wetu wa ndovu hadi uamue kukaa kimya? Kuna gamba moja hapo kakuomba mludi kwenye majukwaa yale lakini naona umempotezea.
Kuikabidhi nchi washamba kuna gharama yake