Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Sasa umekuja na miaka 9, mwenzako juu huko na wewe 6. Wapi nilikataa miaka 9?

Unaonesha unasahau haraka unavyovisoma. Rejea maandiko yangu na niliyoyajibu wapi ilikuwa miaka 9 unayoiongea sasa hivi?

Naomba nioneshe nilipokataa hilo, kama hakuna niombe msamaha tuendelee.

Halafu hilo la kuingiliana naona umeongezea neno "kwanza", hilo ni lako si langu.

Baada ya nikah au aqdi (contract) kinachofata ni kuingiliana siyo kabla ya nikah.

Dalil yangu ni Qur'an na Maulamaa.

Qur'an 33:49. Enyi mlio amini! Mkiwaoa wanawake, Waumini, kisha mkawapa t'alaka kabla ya kuwagusa, basi hamna eda juu yao mtakayo ihisabu. Basi wapeni cha kuwaliwaza, na muwawache kwa kuwachana kwa wema. 49

 
FaizaFoxy saa hizi uko macho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je nn channzo Cha mtoto kuzaliwa na jinsia 2?
Je upo uwezekano nyeti zote kutumika kwa 100%,?
Hizo ni kasoro za kuzaa (birth defects) ambazo huwa na visababu vingi vya kitaalaam.

Uwezekano upo wa nyeti zote kufanya kazi. Pia upo uwezekano wa moja kati ya hizo kufanya kazi na pia kwa bahati mbaya kabisa upo uwezekano wa zote zisifanye kazi.

Utaalaam wa kisasa unaweza kurekebisha baadhi ya kasoro hizo kwa njia ya amalia (upasuaji) ya kurekebisha (corrective surgery).

Soma zaidi: Ambiguous genitalia
 
Hussein Melkiory na Malcom Lumumba

Hili siyo jukwaa la chitchat, nawaomba muheshimu nyuzi za watu na maudhui zake. Nawaomba futeni hizo chitchat posts zenu msiniharibie uzi wangu.

Hili ni ombi kwenu.
 
Daaah! Haya maneno yako "Naaam tena QURANI INAHITAJIA ZAIDI HADITHI KATIKA KUIELEWA."

Unafikia mpaka kusema maneno ya Allah, Qur'an "inahitajia zaidi" maneno ya binaadam?

Soma hii kidogo:

Qur'an 6:114. Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. 114
 
We kibibi kichawi ulale sasa wallahi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa hiyo hadith hakuna iliyoandikwa wakati wa Mtume Muhammad Sallaah Allahu Alayhi wasalaam?

Je, ni miaka mingapi baada ya kufariki mtume Muhammad salla Allahu alayhi wa salaam ndiyo zikakusanywa na kuandikwa?

Je, kwa neno lako "Wurani" unamaanisha Qur'an?

Kama ndiyo naomba soma hii:

Qur'an 6:114. Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. 114
 
Hili darasa linafundishwa nini hasa?
Hili ni darsa siyo darasa. Kuna tofauti ya darasa na darsa. Darasa ni lile lenye kuta nne shuleni. Darsa ni elimu inayotolewa popote kwa njia yoyote.

Hapa unaweza kuuliza chochote au kujibu chochote kwa swali lolote ili wote tuelimishane. Rejea post namba moja.
 
Kama Qurani pekee inatosha bila hadithi n.k

Kama Qurani pekee inatosha,Kwa nini Allah aliwafunza mitume Kitabu na HIKMA?

Pia je kama Qurani haihitajii ufafanuzi wa Mtume mbona tunasali sala tano na mafundisho kamili wakati huo hauijaelezwa katika Qurani
Yani hakuna kwenye Qurani inasema ukiwa katika tashahhudi unyooshe kidole,usome tahiyyatu,umswalie mtume,alafu utoe salamu.kama ipo aya hiyo iliyoeleza hivyo iweke.
Kama hufuati hadithi ina maana mama yetu husali weyee?

Kama unasali,unasali kupitia mafundisho gani hasa wakati utaratibu kamili wa sala haujatajwa ndani ya Qurani?

Kuhitajia maneno ya binadamu Qurani maana yake Qurani inahitajia maneno ya Mtume ili aifafanue maana iliyokusudiWa,na sio ishuke tu alafu kila mtu ataelewa kivyake,sasa kufafanuliwa kwa Qurani na bwana mtume ni makosa?

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 

Ukiona mtu anaacha hoja iliyopo na kukujadili wewe ujuwe kisha shindwa kwa hoja huyo.

Naomba kwanza tuelewane, tafadhali usinijadili mimi zijadili hoja. MimI ikiwa na swali au siswali ndiyo hoja iliyopo hapa? Au kuswali au kutokuswali kwangu kunakusaidia nini wewe? Fikiri.

Tukirudi kwenye hoja zako zingine, umeleta mambo mengi kwa pamoja. Hebu anza na moja katika hayo ili twende vizuri.
 
Umeona neno "This is Africa"? Katika hilo bandiko lako? Kama umeona sasa unashangaa nini?

Mliuliwa juzijuzi tu hapo Afrika ya Kusini na mkawa mnafukuzwa kama mbwa, ilikuwa na Waarabu? Au huelewi hilo bado ulikuwa ndigiri?


Umesoma hiyo article na kuelewa? Vua hilo gunia lako kichwani, unajitwika haibu bure, wenyewe wanaona dharau kuigwa kila kitu na nyie.
 


Kwanini watu kama nyie wavaaji magunia kichwani mnajifanya waarab wakati hao waarab hawana issue nanyi? Tena wanawachukia ile mbaya.
 
Kwanini Afrika hatuendelei na ukizingatia kuna asilimia kubwa ya vijana na rasilimali nyingi kulinganisha na maeneo mengine ya dunia?
 
hizo hoja zina majibu yanye maswali labda tu mgeni wa majadiliano ya namna hii.

Osoookeeeey

Qurani inasema mwizi akatwe mkono,kama tujuavyo mkono ni kuanzia bega mpaka kidole.

Ila hadithi zimethibiti kwamba mtume aliwakata wezi viganja tu ns sio mkono mzima kama inavosema Qurani.

Jeee binadamu huyu(mtume)alipotosha hukmu ya Qurani kwa muktadha huu?



ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…