Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Tatizo ni kuwa unataka ufanyee kama hakuna vitabu vya kiislamu vikubwa ambavyo vimekiri juu ya kuolewa bi Aisha akiwa na miaka 9,unataka kuwaaminisha jamaa kwamba labda ni vitabu vya wasiokuwa waislamu ndo wanasema hayo,hapo tu pana mushkila kwa kuwa wanazuoni wakubwa wakubwa wamelikubali jambo hilo.

Ila hap sasa Umesoma wapi kwamba ndoa haikamiliki mpaka kuwe na kuingiliana kwanza,kwa dalili ipi khaswaaaa?

Tuanzie hapo kwanza.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Sasa umekuja na miaka 9, mwenzako juu huko na wewe 6. Wapi nilikataa miaka 9?

Unaonesha unasahau haraka unavyovisoma. Rejea maandiko yangu na niliyoyajibu wapi ilikuwa miaka 9 unayoiongea sasa hivi?

Naomba nioneshe nilipokataa hilo, kama hakuna niombe msamaha tuendelee.

Halafu hilo la kuingiliana naona umeongezea neno "kwanza", hilo ni lako si langu.

Baada ya nikah au aqdi (contract) kinachofata ni kuingiliana siyo kabla ya nikah.

Dalil yangu ni Qur'an na Maulamaa.

Qur'an 33:49. Enyi mlio amini! Mkiwaoa wanawake, Waumini, kisha mkawapa t'alaka kabla ya kuwagusa, basi hamna eda juu yao mtakayo ihisabu. Basi wapeni cha kuwaliwaza, na muwawache kwa kuwachana kwa wema. 49

Sasa umekuja na miaka 9, mwenzako juu huko na wewe 6. Wapi nilikataa miaka 9?

Unaonesha unasahau haraka unavyovisoma. Rejea maandiko yangu na niliyoyajibu wapi ilikuwa miaka 9 unayoiongea sasa hivi?

Naomba nioneshe nilipokataa hilo, kama hakuna niombe msamaha tuendelee.
FaizaFoxy saa hizi uko macho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je nn channzo Cha mtoto kuzaliwa na jinsia 2?
Je upo uwezekano nyeti zote kutumika kwa 100%,?
Hizo ni kasoro za kuzaa (birth defects) ambazo huwa na visababu vingi vya kitaalaam.

Uwezekano upo wa nyeti zote kufanya kazi. Pia upo uwezekano wa moja kati ya hizo kufanya kazi na pia kwa bahati mbaya kabisa upo uwezekano wa zote zisifanye kazi.

Utaalaam wa kisasa unaweza kurekebisha baadhi ya kasoro hizo kwa njia ya amalia (upasuaji) ya kurekebisha (corrective surgery).

Soma zaidi: Ambiguous genitalia
 
Hussein Melkiory na Malcom Lumumba

Hili siyo jukwaa la chitchat, nawaomba muheshimu nyuzi za watu na maudhui zake. Nawaomba futeni hizo chitchat posts zenu msiniharibie uzi wangu.

Hili ni ombi kwenu.
 
Naaam tena QURANI INAHITAJIA ZAIDI HADITHI KATIKA KUIELEWA.

mfano Qurani imesema mwizi akatwe mkono,na mkono ni kuanzia bega mpaka kidole,lakini hadithi ndo zikafafanua kwamba mkono unaokusudiwa ni kile kiganja tu na sio kono zima,sasa wanachuoni wanayalinda maneno ya mtume kutokana na kuingiwa na watu.

Mtu kukataa mpja kwa moja hadithi snaingia katika makosa na anamkana mtume wake kwa sababu zile hadithi ndo hikma zenyewe.manabii walipewa kitabu na hikma kwa maana himma ni yale mafunfisho ya manabii baada ya vitabu.

كما أرسلنا فيكم رسولا منكم يتلو عليكم آياتنا ويزكيكم ويعلمكم الكتاب والحكمة ويعلمكم ما لم تكونوا تعلمون

[ AL - BAQARA - 151 ]
Kama tulivyo mtuma Mtume kwenu anaye tokana na nyinyi, anakusomeeni Aya zetu na kukutakaseni na kukufundisheni Kitabu na hikima na kukufundisheni mliyo kuwa hamyajui.

Aya inasema anafundisha kitabu(Qurani) na hikma,Allah hakusema KWA HIKMA,kwa sababu ingetafsirika labda kwa kutumia hikma,lakinj kasema anawafundisha kitabu na HIKMA,hikma ni maneno na mafundisho ya mtume.

Na mafundisho ya mtume hayajasimuliwa kwenye Qurani kama hadithi zilivyo

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Daaah! Haya maneno yako "Naaam tena QURANI INAHITAJIA ZAIDI HADITHI KATIKA KUIELEWA."

Unafikia mpaka kusema maneno ya Allah, Qur'an "inahitajia zaidi" maneno ya binaadam?

Soma hii kidogo:

Qur'an 6:114. Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. 114
 
Daaah! Haya maneno yako "Naaam tena QURANI INAHITAJIA ZAIDI HADITHI KATIKA KUIELEWA."

Unafikia mpaka kusema maneno ya Allah, Qur'an "inahitajia zaidi" maneno ya binaadam?

Soma hii kidogo:

Qur'an 6:112. Na kadhaalika tumemfanyia kila Nabii maadui mashet'ani wa kiwatu, na kijini, wakifundishana wao kwa wao maneno ya kupamba-pamba, kwa udanganyifu. Na angeli penda Mola wako Mlezi wasingeli fanya hayo. Basi waache na wanayo yazua. 112

Qur'an 25:31. Na vivi hivi tumemfanyia kila Nabii adui miongoni mwa wakosefu, na Mola wako Mlezi anatosha kuwa Mwenye kuongoa na Mwenye kunusuru. 31
We kibibi kichawi ulale sasa wallahi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadithi zilizoandikwa wakati wa Mtume hakuna,kams ilivyokuwa kwamba hakukuwa na aya ambazo zilikuwa zinaandikwa kwenye kitabu maalumu,mtume aliwakataza watu kuiandika Wurani badala yake ikawa wengi wanaiweka vifuani.

Na hali kadhalika hivyo hivyo hadithi hazikuandikwa katika kitabu maalumu kama ilivyo qurani.

Hadithi ni maneno au matendo ya mtume ambayo ameyaona ama ameyasikia na akayasimulis swahaba.lskini pia kuns hadiythu qudsi.

Wakati huo Wurani ni maneno ya Allah ambayo ameteremshiwa mtume mwenyewe kwa maana ameyasikis mwenyewe mtumi.

Kwa hvyo mtiririko uko hivo.

ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha

Kwa hiyo hadith hakuna iliyoandikwa wakati wa Mtume Muhammad Sallaah Allahu Alayhi wasalaam?

Je, ni miaka mingapi baada ya kufariki mtume Muhammad salla Allahu alayhi wa salaam ndiyo zikakusanywa na kuandikwa?

Je, kwa neno lako "Wurani" unamaanisha Qur'an?

Kama ndiyo naomba soma hii:

Qur'an 6:114. Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. 114
 
Hili darasa linafundishwa nini hasa?
Hili ni darsa siyo darasa. Kuna tofauti ya darasa na darsa. Darasa ni lile lenye kuta nne shuleni. Darsa ni elimu inayotolewa popote kwa njia yoyote.

Hapa unaweza kuuliza chochote au kujibu chochote kwa swali lolote ili wote tuelimishane. Rejea post namba moja.
 
Daaah! Haya maneno yako "Naaam tena QURANI INAHITAJIA ZAIDI HADITHI KATIKA KUIELEWA."

Unafikia mpaka kusema maneno ya Allah, Qur'an "inahitajia zaidi" maneno ya binaadam?

Soma hii kidogo:

Qur'an 6:114. Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi? Na hao tulio wapa Kitabu wanajua ya kwamba kimeteremshwa na Mola wako Mlezi kwa Haki. Basi usiwe katika wanao tia shaka. 114
Kama Qurani pekee inatosha bila hadithi n.k

Kama Qurani pekee inatosha,Kwa nini Allah aliwafunza mitume Kitabu na HIKMA?

Pia je kama Qurani haihitajii ufafanuzi wa Mtume mbona tunasali sala tano na mafundisho kamili wakati huo hauijaelezwa katika Qurani
Yani hakuna kwenye Qurani inasema ukiwa katika tashahhudi unyooshe kidole,usome tahiyyatu,umswalie mtume,alafu utoe salamu.kama ipo aya hiyo iliyoeleza hivyo iweke.
Kama hufuati hadithi ina maana mama yetu husali weyee?

Kama unasali,unasali kupitia mafundisho gani hasa wakati utaratibu kamili wa sala haujatajwa ndani ya Qurani?

Kuhitajia maneno ya binadamu Qurani maana yake Qurani inahitajia maneno ya Mtume ili aifafanue maana iliyokusudiWa,na sio ishuke tu alafu kila mtu ataelewa kivyake,sasa kufafanuliwa kwa Qurani na bwana mtume ni makosa?

Ukiona mtu anaacha hoja iliyopo na kukujadili wewe ujuwe kisha shindwa kwa hoja huyo.

Naomba kwanza tuelewane, tafadhali usinijadili mimi zijadili hoja. MimI ikiwa na swali au siswali ndiyo hoja iliyopo hapa? Au kuswali au kutokuswali kwangu kunakusaidia nini wewe? Fikiri.

Tukirudi kwenye hoja zako zingine, umeleta mambo mengi kwa pamoja. Hebu anza na moja katika hayo ili twende vizuri.
 
Umeona neno "This is Africa"? Katika hilo bandiko lako? Kama umeona sasa unashangaa nini?

Mliuliwa juzijuzi tu hapo Afrika ya Kusini na mkawa mnafukuzwa kama mbwa, ilikuwa na Waarabu? Au huelewi hilo bado ulikuwa ndigiri?

Umesoma hiyo article na kuelewa? Vua hilo gunia lako kichwani, unajitwika haibu bure, wenyewe wanaona dharau kuigwa kila kitu na nyie.
 
General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.

Update 1:
Tafadhalini tuulize maswali kiheshima . Heshima ni kitu cha bure na hii JF yetu pendwa inasomwa na wengi, tujiheshimu.

Update 2:
Siku kadhaa zimepita toka tuanzishe uzi huu na nimesikitishwa na aina ya maswali yanayoulizwa kwenye huu uzi.

Tumetowa fursa ya kuulizana na kila niwezapo kujibu au kutafuta majibu muafaka kutokana na hayo maswali na fursa ya wachangiaji kujibu maswali yatakayojitokeza ya "general knowledge" lakini hadi hii leo ni maswali machache sana yenye faida kwa wengi yameulizwa. Maswali yaliyojaa ni amma ya kutaka kuanzisha ubishi "ligi" na amma yamelenga mtu binafsi, hususan amelengwa mleta mada. Ni masikitiko makubwa sana.

Nnawashauri wote waliouliza maswali yenye kulenga binafsi na wale waliouliza maswali yenye kubomoa badala ya kujenga wabadilike na waanze kuuliza maswali yenye kujenga, kuelimisha, kutujaza hekima na maarifa.

Nilipoweka aina ya elimu niliyoisomea nilidhani ntakumbana na kibano kikali kuhusu hilo na nijibu ili iwe faida kwa wengi lakini kwa bahati mbaya au nzuri hakuna hata mmoja aliyeuliza swali lolote kuhusu hilo.

Isitoshe, mna fursa ya kuuliza kuhusu chochote. Ndege, mimea, dunia, sayari, nyota, maajabu, maswali yasiyokuwa na majibu, viumbe kwa ujumla vinavyojulikana na visivyojulikana, maajabu ya duniani, elimu na vitu vingi kama hivyo na vinginevyo.

Nnauhakika wale walioleta maswali ya kiajabu ajabu ya ubishi wana mengi sana ya kuuliza yanayoweza kuwapa faida wengi na kuna wengi kati yao wana mengi wanayajuwa na wanaweza kuchangia kwenye majibu kwa faida ya wengi.

Ombi langu kwa wote ni tuboreshe aina ya maswali na majibu.

Karibuni.

Kwanini watu kama nyie wavaaji magunia kichwani mnajifanya waarab wakati hao waarab hawana issue nanyi? Tena wanawachukia ile mbaya.
 
Hili ni darsa siyo darasa. Kuna tofauti ya darasa na darsa. Darasa ni lile lenye kuta nne shuleni. Darsa ni elimu inayotolewa popote kwa njia yoyote.

Hapa unaweza kuuliza chochote au kujibu chochote kwa swali lolote ili wote tuelimishane. Rejea post namba moja.
Kwanini Afrika hatuendelei na ukizingatia kuna asilimia kubwa ya vijana na rasilimali nyingi kulinganisha na maeneo mengine ya dunia?
 
hizo hoja zina majibu yanye maswali labda tu mgeni wa majadiliano ya namna hii.

Osoookeeeey

Qurani inasema mwizi akatwe mkono,kama tujuavyo mkono ni kuanzia bega mpaka kidole.

Ila hadithi zimethibiti kwamba mtume aliwakata wezi viganja tu ns sio mkono mzima kama inavosema Qurani.

Jeee binadamu huyu(mtume)alipotosha hukmu ya Qurani kwa muktadha huu?

Back
Top Bottom