FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #2,441
Binafsi siamini kama kuna maisha ya kaburini.Vipi kuhusu maisha ya kaburini, kuna kuonana kama tunavyoonana kwa hapa duniani, hiyo baada ya kufa?, na kutembeleana ?
Na mwili wako utakuwa unauona kama unavyouona ukiwa hai?
Shukralaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini maisha ni uhai na ukiuacha uhai unaingia kwenye umauti na utahuishwa tena siku ya Qiyama. Pia naamini hautaihisi tofauti ya muda, ni kama kulala na kuamka tu.
Allahu 'allam