Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Hakuna katazo la kulala bila nguo.
Allah hata uvae nguo anakuona kila sehemu,wanandoa ni halali kwao kulala uchi ikiwa hakuna anayewaona wapo chumbani.
Kwa sababu hakuna ubaya juu ya hilo,unamfichia nani?
Allah anasema
[ AL - BAQARA - 187 ]
Mmehalalishiwa usiku wa Saumu kuingiliana na wake zenu. Wao ni vazi kwenu, na nyinyi ni vazi kwao.
Allah amehalalisha kuwaingilia wake,unawaingilia na nguo ama ukiwa uchi?
Lakini pia tumeambiwa wanandoa ni MAVAZI kila mmoja kwa mwenzie kwa maana vazi ndo linakusitiri linakuona kila aibu yako.
Hakuna katazo la kulala uchi na mkeo madhali mupo wawili.

أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَىٰ نِسَائِكُمْ ۚ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ ۗ عHabar madam
Napenda kujua je kulala bila nguo kwa wanandoa ni sawa na je ina faida gani.
Sent using Jamii Forums mobile app