Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Hakuna katazo la kulala bila nguo.

Allah hata uvae nguo anakuona kila sehemu,wanandoa ni halali kwao kulala uchi ikiwa hakuna anayewaona wapo chumbani.

Kwa sababu hakuna ubaya juu ya hilo,unamfichia nani?

Allah anasema
Habar madam
Napenda kujua je kulala bila nguo kwa wanandoa ni sawa na je ina faida gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
أُحِلَّ لَكُمْ لَيْلَةَ الصِّيَامِ الرَّفَثُ إِلَىٰ نِسَائِكُمْ ۚ هُنَّ لِبَاسٌ لَّكُمْ وَأَنتُمْ لِبَاسٌ لَّهُنَّ ۗ ع

[ AL - BAQARA - 187 ]
Mmehalalishiwa usiku wa Saumu kuingiliana na wake zenu. Wao ni vazi kwenu, na nyinyi ni vazi kwao.


Allah amehalalisha kuwaingilia wake,unawaingilia na nguo ama ukiwa uchi?

Lakini pia tumeambiwa wanandoa ni MAVAZI kila mmoja kwa mwenzie kwa maana vazi ndo linakusitiri linakuona kila aibu yako.

Hakuna katazo la kulala uchi na mkeo madhali mupo wawili.
 
Ni kwa nini Kenya imekuwa muhanga wa vitendo vya kigaidi vya Al shababu mara kwa mara?
 
Naona sasa unaleta ubishi wa kuzunguka hapo hapo. Majibu yangu ndiyo hayo, kama hukuyapenda au hayakuingii akilini achana nayo. Sikulazimishi kukubali wala usinilazimishe kukubali.

La unataka kuendeleza ubishi kuna uzi nimeuweka spesho kwa kubishana, pitia hapa: Kwa wanaopenda na wasio penda ubishi. - JamiiForums

Mimi na wewe uelewa wetu tofauti.

Bado nasubiri aya ya Qur'an kuhusu "maisha ya kaburini" kutoka kwako.
 
Asante madam sasa itabd nmnunule nightdress nzur mke wang maam mm mwanaume n bukta tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asantee mkuu nmepata jib zur kabsaa..asante kwa udadaviluaji mzur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kutoka post # 1 mpaka 2506 cjui kwann huu uzi umenivutia kiasi hiki

Ila uzi umetekwa na na maswali ya kiitikadi zaid ina maana hamna wanaosomea alichosomea Faizafoxy ili wanufaike na fursa hii?

Uchaguzi Mbaya sana huu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia ata kabla Kenya hawajapeleka jeshi Somalia hawa Al Shabab walishafanya matukio Kenya.

Pili ata Tanzania tuna jeshi Somalia.
Sasa kama "unasikia" unataka nijibu nini tena? Ya kusikia changanya na yako.
 
Weka aya.
[bold]2:53[/bold] kumbukeni tulipo..., [bold]2:38[/bold] tukamwambia Adam...., [bold]2:56[/bold] kisha tukakusameheni...., [bold]2:34[/bold] na kumbuka ewe Nabii tulipowaambia Malaika..., [bold]2:23[/bold] Na ikiwa mna shaka kusadiki hii Qur'an tunayomteremshia... nk, ziko nyingi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu fanya editing.

Naam, Qur'an imeteremshwa na Jibril kutoka kwa Allah.

Jibril ni malaika ambae nyinyi mnamwita Gabriel.

Tatizo nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…