Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Nini maana ya ramadhan,!?sikukuu ya Eid Ina maana gani!?Eid alfitr na Eid alhaj
Katika swala kujisitiri hasa mtoto wa kike
Je,Ni lazima kufunga hijab ama kilemba Cha kawaida kinaruhusiwa!???
Kwanini mnaswali ijumaa na Sio jumapili au jumamosi???
Je,sabato ya kweli Ni ipi!??ijumaa,jumamosi ama jumapili!?
Unadhani kwanini Kuna tofauti baina ya waislam na wakristo kuhusu sabato!???
Sent using Jamii Forums mobile app