Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ramadhan ni mwezi mtukufu sana kwa walimwengu wote na umebeba nguzo muhimu ya Kiislam ya kufunga. Nguzo za Kiislam ni tano, mojawapo ni hii ya kufunga swaum mwezi wa Ramadhan.
Je katika Quran hakuna kifungu kinachomruhusu muisilam kuua akaipigania dini na Mungu wake?Si kweli.
Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.
Uislam unafundisha:
Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Hakuna.Je katika Quran hakuna kifungu kinachomruhusu muisilam kuua akaipigania dini na Mungu wake?
Sent using Jamii Forums mobile app
:"Had" inabadili nini katika hiyo nukuu yako?
Dada Faiza! The grammar in your sentence is incorrect and the sentence is incomplete."Had" ni past tense. Kuishia kwenye "ever" pekee inakuwa past/present/future participle tense. Kwa kuwa "ever" ni wakati wowote ule. Ambayo siyo kabisa maana ya nilichokiandika. Mimi siyafahamu ya kesho.
Nadhani umenielewa.
"That Kikwete was the best President Tanzania ever had" = I guess what you trying to say madam is that JK was better than Mwalimu , Ben and Mwinyi but is nothing compared to JPM.Nadhani umenielewa.
So where is the "incorrect" ness on grammar?"That Kikwete was the best President Tanzania ever had" = I guess what you trying to say madam is that JK was better than Mwalimu , Ben and Mwinyi but is nothing compared to JPM.
You are always correct ustadhati.So where is the "incorrect" ness on grammar?
Of course he was.
Na hizi aya kaagiza nani?! Acha Tagyah!Si kweli.
Uislam haufundishi ugaidi wala haufungamani na kundi lolote la kigaidi.
Uislam unafundisha:
Qur'an 5:
32. Kwa sababu ya hayo tuliwaandikia Wana wa Israili ya kwamba aliye muuwa mtu bila ya yeye kuuwa, au kufanya uchafuzi katika nchi, basi ni kama amewauwa watu wote. Na mwenye kumuokoa mtu na mauti ni kama amewaokoa watu wote. Na hakika waliwajia Mitume wetu na hoja zilizo wazi. Kisha wengi katika wao baada ya haya wakawa waharibifu katika nchi.
33.Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa.
Biblia, Luka 19:Na hizi aya kaagiza nani?! Acha Tagyah!View attachment 1013828View attachment 1013830View attachment 1013831
Sent using Jamii Forums mobile app