Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nina mtu wa karbu ana mapepo na natamani kumsaidia, nafanyaje nataka hayo mapepo yamuondoke kabisa maana yanamsumbua mala kwa mala.

ushahuri..tafadhali
But sijaua kama umewahi ku experience hii kitu.
 
faiza foxy
Unaelezeaje pale ambapo mtu unakuta umetokea kumpenda mtu kea nguvu zote na moyo wote.

Ila pale ambapo na yeye anaonyesha hisia hizo mambo hubadilika.
Upendo wako kwake hupungua, wakati upendo wake kwako unaongezeka mara dufu.

Namna gani mtu unaweza kufanya ili upendo wa awali usipotee?
 
Sijaelewa mkuu hayo ndo majibu ya swali langu au vip..
Nifafanulie kidogo,
Pia kama kuna sheikh fundi kabisa, nipewe conection nae, atoe msaada.
Jisomee. Ndiyo majibu ya swali lako, tena kwa kina.

Bofya "link" hizo ukasome kwa utulivu, usiwe na haraka. Kama utakuwa na swali baada ya kusoma nitakujibu.
 
Kwa maadili mema tu, katika vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu, ni miaka yake mingapi?

Kingine ni kumuuliza mtu kama "una watoto"?

Vipo vingi lakini kwa leo hivyo vitakutosha kuvifikiri.

*Wale wote watakaoona nimewapa link ya kuja post hii waelewe kuwa swali lao liko nje ya maadili.
Naomba kujua vitu ambavyo hupaswi kumuuliza mtu kimaadili,kama ulivyo sema hapo juu
 
Kama sio ya mtume ya nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona busara zimekushinda hata unapoambiwa unaharibu uzii wa watu huelewi.

Sasa hapa ntakupa darsa "zurri" likuingie.

Kwanza tuanze na hilo la hadith yako halafu ntakufundisha maana ya neno "nikah'.

Hilo swali unatakiwa ujibu wewe uliyeileta hiyo "hadith" ukasingizia ya mtume.

Tueleze hiyo hadith ya nani? Kwa ushahidi si kwa maneno matupu.
 
Kwanza unaijua swarfu namna ya kubadilisha maneno kwa kutumia vipimo mbali mbali...?

Kama unajua naomba nipe tafsiri ya neno ينكح kwa wazni wa تفاعل

Ili tuone huo.wazni wake umetumika wapi katika Qurani na hadithi ikikusudia kuoawana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini mtume wenu alianza kumuingilia kingono Aisha akiwa na miaka tisa?
.
Kwanini kitabu chenu kimeikopi Biblia na si cha mabudha ama wahindu?
 
Naona busara zimekushinda hata unapoambiwa unaharibu uzii wa watu huelewi.

Sasa hapa ntakupa darsa "zurri" likuingie.

Kwanza tuanze na hilo la hadith yako halafu ntakufundisha maana ya neno "nikah'.

Hilo swali unatakiwa ujibu wewe uliyeileta hiyo "hadith" ukasingizia ya mtume.

Tueleze hiyo hadith ya nani? Kwa ushahidi si kwa maneno matupu.
Naona umenileta huku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yangu nimemaliza.

Kasome صرف vizuri utaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naendeleza azma yangu ya kukufundisha uuungwana wa kutoharibu nyuzi za watu kwa kuendeleza mjadala wa mambo yaliyo nje ya mada iliyopo, ndiyo maana nakuleta huku. Na ndiyo sababu kuu ya mimi kuanzisha hizi nyuzi za mada tofauti.

Maajabu ya JF, hilo neno la "kazi yangu nimemaliza" analitumia sana mtu anaejiita Zurri pale anapoona anashindwa kujibu mada. Naona na wewe unamuiga, au?

Kazi huna, utaimaliza vipi?

Jibu hiyo hadith ya nani kwa ushahidi. Usikimbie.
 
MN
Naendeleza azma yangu ya kukufundisha uuungwana wa kutoharibu nyuzi za watu kwa kuendeleza mjadala mambo yaliyo nje ya mada iliyopo ndiyo maana nakuleta huku. Na ndiyo sababu iuu ya mimi kuanzisha hizi nyuzi za mada tofauti.

Maajabu ya JF, hilo neno la "KAZI yangu nimemaliza" analitumia sana mtu anejiita Zurri pale anapoona anshindwa kujibu mada. Naona na wewe unamuiga, au?

Kazi huna, utaimaliza vipi?

Jibu hiyo hadith ya nani kwa ushahidi. Usikimbie.
Bi mkubwa kwanini umeamua kuwa muongo wakati mja mwema Haroun alipata kusema hivi "Laiti kama uongo ungekuwa ni jambo jema lenye kuruhusiwa kulitenda, nisinge litenda kwa ajili ya kujitakasa"

Uongo ni kinyume cha Ukweli, na uongo ni mbaya sana. Uliyo yaandika hapa hasa kwenye nukta ya kwamba mimi huwa natumia neno hilo au kauli hiyo baada ya kushindwa hoja, sio kweli.

Na tukiandika tuandike ya kweli.
 
Back
Top Bottom