Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Ahaha mama angu mpenzi mambo hayendi hivyo.

Tunaangalia matamko ya kisheria yamekuja vipi na sio kilugha tu na kimazingira.

Nimekuelezea ya kuwa fani ya swarfu inadili na kugeuza maneno kutoka kupiga kuwa kupigwa na kuwa kupigana n.k

Nikasema ya kuwa kiswarfu neno تنكح limetumika kwa وزن wa تفعل kwa maana ya مفعول به yaani mtendwa.


Sasa ili kuthibitisha madai yako naomba uniambie wewe.

Neno kuowana kama unavyodai katika swarfu litapimwa kwa mizani gani ?
Leta mizani hyo ndo elimu,elimu siyo misimamo.elimu ni hoja mama angu.

Misimamo inakujengea kiburi cha kutotaka kujifunza zaidi na wewe bado ni mchanga katika mas'ala haya hupaswi kuwa na misimamo,najua secular ndo imekufanya hivyo na hiyo ni kutokana na kukosa misingi ya elimu ya dini hsya ndo madhara yake.

Ukisoma sana secular na dini hujui utaharibikiwa dini tu lazima.

Nakuuliza neno kuowana kiswarfu tutalioimia katika wazni upi?

Nakuheshimu sana ila sometime unavuka mipaka kwa ukaidi mama angu mpeeeenzi faizafoxy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hspa umeweka msimamo yani iwe isiwe ni kuowana tu,mama twende kwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana mkuu.

Kwani kwa mujibu wa taratibu zenu mwanamke anaolewa na miaka mingapi?

Kwa mujibu wa taratibu zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapo mature tu hii ni kwa mujibu wa imani.
Sasa tukirudi katika maumbile ya hawa viumbe (ke) miaka ya1980 binti wa miaka 16 hata hajavunja ungo just imagine mwaka 600+ wa Muhammad Binti alikuwa akivunja ungo akiwa na umri gani?
.
Muhammad alikuwa akibaka live na hivi alikuwa mbabe wa vita hahahaha alimtanua Aisha akiwa mdogo sana na hii taboo mmeendelea nayo hadi leo binti wa kiislamu akifeli kidato cha nne mpe mwaka mmoja tu mimba akifikisha miaka 23 tayari ana vyuo viwili ama vitatu, wakiume akipata vihela tu kaoa madrasa hizi 😟
 
Poa.
 
Niwekee wewe mwenyewe tarjama ya hiyo sentensi kisha uone kitakacho tokea.
 
Ok sawa mkuu kwa mujibu wa imani anapomature.na bibi aisha alikuwa ameshamature kwa miaka 9 hiyo.hapa ukipinga itabidi tujiulize kwa sababu maandiko yaliyothibitisha kuwa alikuwa amemature ndiyo hayo umeyatumia na kuamini kuwa mtume alimuoa huyo binti mdogo.

Sasa mkuu yeye alikuwa kwanza kaolewa,alafu pili alikuwa tayari ame mature.

Unadhani kilimzuia nini yeye mkuu tukiaangalia ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwekee wewe mwenyewe tarjama ya hiyo sentensi kisha uone kitakacho tokea.
Mkuu mama ameshika msimamo.

Namuambia alete wazni wa neno kuowana kwa kiarabu kwa mujibu wa elimu ya swarfu bado hajspata kule gugo.

Ameshika misimamo wenzie wanashika hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetaka tafsiri ya neno hili,
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ
mbona linakupa kizunguzungu,kulikoni?
Una maanisha maana ya hii kauli sio ?

Sisi tunasea hivi, kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.
 
Una maanisha maana ya hii kauli sio ?

Sisi tunasea hivi, kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Ahha huyu mama bwana.

Huyo aliwahi kuniambia hakubali hadithi,kuna kipindi akasema tena hadithi anayokubali yeye inayomuingia akilini.

Sasa hapa nimemuuliza anarukaruka mithili ya mkanyaga makaa ya moto huko nyayoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.
 
Ndio maana nipo kwenye huu uzi wajuzi wa hiyo imani mnipe darsa Aisha alikuwa na muonekano wa mabinti hawa wa sasa karne ya 21 wa miaka tisa ama alikuwaje?
 
Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.
Mkuu huyu mama yupo katika sehemu hatari sana.
Anakataa mpaka ile.adhabu ya mawe kwa mzinifu ati kwa sababu haimo kwenye Qurani.ni kufru kubwa kupinga hukmu.

Alafu huyu huyu ndio kinara wa uislamu wakati waislamu wote wanakubali adhabu ya mawe ipo.

Ana makandokando mengi sana ila tu ndo apewe udhuru wa ujinga mana kuna mambo mmh unaona tu hapa hatuna mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hakuna kupimwa "wazn" wala "sarf". Kasome tafsiri zote za Kiarabu utakuta neno Nikah linamaanisha "contract" ndani ya Qur'an na nje ni kama nilivyowafundisha juu huko.

Sasa kama haujuwi maana ya Kiswahili ya hilo neno jepesi nililowauliza mtaelewa aya zinasemaje? Fikiri.
Halafu kitu hamuelewi kwanini mnadanganya nafsi zenu na kuwadanganya wengine? Someni.

Unaniuliza vigezo vipi, wakati vigezo vipo ndani ya Qur'an.

Huisomi Qur'an wewe? Soma hii...

تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ - 45:6

 
Ndio maana nipo kwenye huu uzi wajuzi wa hiyo imani mnipe darsa Aisha alikuwa na muonekano wa mabinti hawa wa sasa karne ya 21 wa miaka tisa ama alikuwaje?
Sasa mkuu tutamuonaje?
Na tumfananishe na nani ili ikujie picha kamili.bila.shaka alikuwa mdogo kiumri kama ambavyo anakuwa mdogo kiumri yule mwanamke ambae ana miaka 18 kuolewa na mwanaume wa miaka 65.

Ila lenye uhakika ni kuwa alikuwa ameshakuwa matured tayari na hata hivi leo wapo mabinti wengi katika umri huo hubaleghe.

Ila labda na mimi niulize kuwa mwanamke tunaweza kumzuwia kuolewa kwa sababu ya kutokufikia kumature au tunamzuwia kwa sababu ya mwili wake mwembamba?

Kwa sababu tunaona hivi leo kuna wanawake wembambaa wanaolewa na mamtu makuuubwa wala hawatizami miili.

Unafhani umbile la mwili ni sababu ya kughairisha ndoa ?
DeWitt J
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui swarfu mama.unajimwambafai tu mama angu.
Swarfu ni.somo muhimu ambalo linaenda kwa misingi ya waznu tu.

Inaonesha unasoma tafsiri za maneno mfano صياد. Maana zake kadhaa wa kadhaa basi.

Kuna ufundi wa swarfu ambao ndo ungeujua usingesema hayo ya kuowana.na haoo umeshindwa kutetea.

Mwanzo uliniambia oooh nisome hivi na vile kumbe weye ndo unahitaji kusoma mama.kasome swarfu.

Tunkahu ni wazni wa tuf'alu kwa maana ya mtendwa ikimaanisha kuolewa.

Jeee kuowana neno kuowana litapimwa kwa wazni gani kwa mujibu wa elimu ya swarfu?

Kama huji sema mama yangu,ukijishusha Allah atakupandisha mama angu,usipinge hizi elimu ndo msingi wa lugha yote ya kiarabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupuuza maana umeandika ujinga na uongi ambao mpaka nimepata uzito na kujiona nitafanya matumizi ya akili vibaya.
Huwezi kupuuza vitu vya msingi kama hivyo vinavyojadiliwa na kila mtu asiye wa imani yenu iwe mitandaoni ama mitaani Tanzania na hata huku abroad.
 
Contact ndo nini ?

Mbona unatafsiri kwa lugha za kigeni kama ambavyo uliniambia mimi?

Tafsiri kiarabu kwa kiarabu usilete uzungu weye Alaa.mwanzo ulinambia oooh lugha unayotumia ya kigeni.

Sasa hivi na wewe umerudi kule kule tena,hii ni dhaahir unajimwambafai.
Mama angu kubaki kufunzwa utaenjoy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…