Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaha mama angu mpenzi mambo hayendi hivyo.Wewe katika Uislam hakuna "kuoa" kuna kuoana tena kwa kutimiza masharti yote ya kisheria.
Inabidi mtie akilinkweoi. Mmezowea kuwadanganya wasioujuwa Uislam na haki zake.
Hapa kwangu mkitaka msitake mtatia akili tu.
Unaongelea aya? Soma hii unambie maana take
Muombe msaada mwenzako anaejiita safuher aliyeiweka hapo hiyo hadithi akusadie.
Hspa umeweka msimamo yani iwe isiwe ni kuowana tu,mama twende kwa hoja.Wewe katika Uislam hakuna "kuoa" kuna kuoana tena kwa kutimiza masharti yote ya kisheria.
Inabidi mtie akilinkweoi. Mmezowea kuwadanganya wasioujuwa Uislam na haki zake.
Hapa kwangu mkitaka msitake mtatia akili tu.
Unaongelea aya? Soma hii ya mwenzako umsaidie maana yake. Yeye kanyanyua mikono juu na mdomo juu.
Muombe msaada mwenzako anaejiita safuher aliyeiweka hapo hiyo hadithi akusadie.
Anapo mature tu hii ni kwa mujibu wa imani.Hapana mkuu.
Kwani kwa mujibu wa taratibu zenu mwanamke anaolewa na miaka mingapi?
Kwa mujibu wa taratibu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa.Anapo mature tu hii ni kwa mujibu wa imani.
Sasa tukirudi katika maumbile ya hawa viumbe (ke) miaka ya1980 binti wa miaka 16 hata hajavunja ungo just imagine mwaka 600+ wa Muhammad Binti alikuwa akivunja ungo akiwa na umri gani?
.
Muhammad alikuwa akibaka live na hivi alikuwa mbabe wa vita hahahaha alimtanua Aisha akiwa mdogo sana na hii taboo mmeendelea nayo hadi leo binti wa kiislamu akifeli kidato cha nne mpe mwaka mmoja tu mimba akifikisha miaka 23 tayari ana vyuo viwili ama vitatu, wakiume akipata vihela tu kaoa madrasa hizi 😟
Niwekee wewe mwenyewe tarjama ya hiyo sentensi kisha uone kitakacho tokea.Wewe katika Uislam hakuna "kuoa" kuna kuoana tena kwa kutimiza masharti yote ya kisheria.
Inabidi mtie akilinkweoi. Mmezowea kuwadanganya wasioujuwa Uislam na haki zake.
Hapa kwangu mkitaka msitake mtatia akili tu.
Unaongelea aya? Soma hii ya mwenzako umsaidie maana yake. Yeye kanyanyua mikono juu na mdomo juu.
Muombe msaada mwenzako anaejiita safuher aliyeiweka hapo hiyo hadithi akusadie.
Ok sawa mkuu kwa mujibu wa imani anapomature.na bibi aisha alikuwa ameshamature kwa miaka 9 hiyo.hapa ukipinga itabidi tujiulize kwa sababu maandiko yaliyothibitisha kuwa alikuwa amemature ndiyo hayo umeyatumia na kuamini kuwa mtume alimuoa huyo binti mdogo.Anapo mature tu hii ni kwa mujibu wa imani.
Sasa tukirudi katika maumbile ya hawa viumbe (ke) miaka ya1980 binti wa miaka 16 hata hajavunja ungo just imagine mwaka 600+ wa Muhammad Binti alikuwa akivunja ungo akiwa na umri gani?
.
Muhammad alikuwa akibaka live na hivi alikuwa mbabe wa vita hahahaha alimtanua Aisha akiwa mdogo sana na hii taboo wameendelea nayo hadi leo binti wa kiislamu akifeli kidato cha nne mpe mwaka mmoja tu mimba akifikisha miaka 23 tayari ana vyuo viwili ama vitatu, wakiume akipata vihela tu kaoa madrasa hizi [emoji45]
Mkuu mama ameshika msimamo.Niwekee wewe mwenyewe tarjama ya hiyo sentensi kisha uone kitakacho tokea.
Una maanisha maana ya hii kauli sio ?Nimetaka tafsiri ya neno hili,
ﻫﺬﺍ ﺍﻟﺤﺪﻳﺚ ﺭﻭﺍﻩ ﺍﻟﺒﺨﺎﺭﻱ
mbona linakupa kizunguzungu,kulikoni?
Ahha huyu mama bwana.Una maanisha maana ya hii kauli sio ?
Sisi tunasea hivi, kuliweka wazi jambo ambalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.Ahha huyu mama bwana.
Huyo aliwahi kuniambia hakubali hadithi,kuna kipindi akasema tena hadithi anayokubali yeye inayomuingia akilini.
Sasa hapa nimemuuliza anarukaruka mithili ya mkanyaga makaa ya moto huko nyayoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nipo kwenye huu uzi wajuzi wa hiyo imani mnipe darsa Aisha alikuwa na muonekano wa mabinti hawa wa sasa karne ya 21 wa miaka tisa ama alikuwaje?Ok sawa mkuu kwa mujibu wa imani anapomature.na bibi aisha alikuwa ameshamature kwa miaka 9 hiyo.hapa ukipinga itabidi tujiulize kwa sababu maandiko yaliyothibitisha kuwa alikuwa amemature ndiyo hayo umeyatumia na kuamini kuwa mtume alimuoa huyo binti mdogo.
Sasa mkuu yeye alikuwa kwanza kaolewa,alafu pili alikuwa tayari ame mature.
Unadhani kilimzuia nini yeye mkuu tukiaangalia ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu mama yupo katika sehemu hatari sana.Hiyo kauli anapenda kuirudia rudia wakati inampelekea kwenye kufru. Huyu kwa maana hiyo kuna ibada atakuwa hazifanyi kisa tu hadithi haiingii akilini. Huyu mama ndio maana Allah akamnyima Elimu na Maarifa,.
Zurriiiiiiiii leo unanikimbia zurriPoa.
Nimekupuuza maana umeandika ujinga na uongi ambao mpaka nimepata uzito na kujiona nitafanya matumizi ya akili vibaya.Zurriiiiiiiii leo unanikimbia zurri
Tusaidie wewe mama.
Sisi hatujui.
Sasa niambie ili hadithi iwe imetoka kwa mtume kwako wewe iwe na vigezo gani?
Alafu pia neno "tunkahu" limetumika hata kwenye Qurani.kwa hyo ilunapotaka kuikataa hii haxithi kwa vigezo vyako jus kuwa zipo aya zimetaja hlo neno kwa maana ile ile.
Narudia kusema hivi mama yangu.
Kwa mujibu wa elimu ya صرف Neno تُنكح limepimwa kwa wazni wa تفعل ambayo inamkusudia mtendwa ama mtendewa wa jambo.
Kwa maana hapo inakusudia huolewa na sio kuowana kwa sababu neno kuowana kinahwu ina wzni yake kama ambavyo ilivyo maneno kadhaa
Sasa naomba niambie neno kuowana kwa kiarabu litakuja na wazni ipi kwa mujibu wa elimu ya swarfu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu tutamuonaje?Ndio maana nipo kwenye huu uzi wajuzi wa hiyo imani mnipe darsa Aisha alikuwa na muonekano wa mabinti hawa wa sasa karne ya 21 wa miaka tisa ama alikuwaje?
Hujui swarfu mama.unajimwambafai tu mama angu.Hakuna kupimwa "wazn" wala "sarf". Kasome tafsiri zote za Kiarabu utakuta neno Nikah linamaanisha "contract" ndani ya Qur'an na nje ni kama nilivyowafundisha juu huko.
Sasa kama haujuwi maana ya Kiswahili ya hilo neno jepesi nililowauliza mtaelewa aya zinasemaje? Fikiri.
Halafu kitu hamuelewi kwanini mnadanganya nafsi zenu na kuwadanganya wengine? Someni.
Unaniuliza vigezo vipi, wakati vigezo vipo ndani ya Qur'an.
Huisomi Qur'an wewe? Soma hii...
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ - 45:6
Huwezi kupuuza vitu vya msingi kama hivyo vinavyojadiliwa na kila mtu asiye wa imani yenu iwe mitandaoni ama mitaani Tanzania na hata huku abroad.Nimekupuuza maana umeandika ujinga na uongi ambao mpaka nimepata uzito na kujiona nitafanya matumizi ya akili vibaya.
Contact ndo nini ?Hakuna kupimwa "wazn" wala "sarf". Kasome tafsiri zote za Kiarabu utakuta neno Nikah linamaanisha "contract" ndani ya Qur'an na nje ni kama nilivyowafundisha juu huko.
Sasa kama haujuwi maana ya Kiswahili ya hilo neno jepesi nililowauliza mtaelewa aya zinasemaje? Fikiri.
Halafu kitu hamuelewi kwanini mnadanganya nafsi zenu na kuwadanganya wengine? Someni.
Unaniuliza vigezo vipi, wakati vigezo vipo ndani ya Qur'an.
Huisomi Qur'an wewe? Soma hii...
تِلْكَ آيَاتُ اللَّهِ نَتْلُوهَا عَلَيْكَ بِالْحَقِّ ۖ فَبِأَيِّ حَدِيثٍ بَعْدَ اللَّهِ وَآيَاتِهِ يُؤْمِنُونَ - 45:6