Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Staki kuamini kwamba kitabu cha dini kinaweza kuandikwa hivi, basi wale wanao chinja wenzao kwasababu wamefanya dhambi wanafanya kwa kufuata mafundisho haya
 
 


Hakuna binaadam anaependa kulalamika bila sababu.

Tumeyajadili sana hayo hapa hapa JF, jikumbushe: Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu
 
FaizaFoxy Hapa nchini pametokea kudorora sana kwa elimu yetu kuanzia ngazi ya msingi hadi elimu ya juu. Leo hii kijana anayehitimu elimu ya darasa la saba hawezi hata kuandika barua ya kirafiki vijana wanaomaliza elimu ya juu wanaonekana hawana ujuzi ukilinganisha na vyeti vyao. Hili limekuja zaidi miaka kuanzia ya 2000 na kupanda juu
1. Unakubaliana na hili?
2. Nini sababu ya hili
3. Nini mapendekezo yako kunusuru hali hii?

Asante sana.
 


Napenda uelewe kuwa, Fax machine ya kwanza Ikulu wakati wa Mzee Ali Hassan Mwinyi ilikuwa ni zao la elimu yangu.

Nnaishi Tanzania na nje. Inategemea na mood.

Hilo la avatar, pitia hapa: Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa
 
Hongera mkuu!
tuambie umekulia mazingira gani, familia yako inauwezo kiasi gani maana miaka hiyo mtanzania kwenda kusoma nje ya nchi (canada) si haba!
au wewe ni mtoto wa kiongozi mkubwa katika nchi hii

Nimekulia Kariakoo Dar.

Familia yangu ni ya kawaida sana kama familia yoyote ya Kariakoo. AlhamduliLlah nahisi babu na bibi zangu walifanya vyema sana kwa kujijengea nyumba Kariakoo na sehemu zingine za Dar kila wapatapo wasaa na zimekuwa ni assets kubwa sana kwetu.

Wazee wangu hawajawahi kuwa viongozi zaidi ya kuongoza familia zao na biashara zao.
 
Upo sahihi kabisa uume ukiingia tu kwenye uke AU ukiugusa tu uke hata Kama manii hayakutoka itakulazimu kuoga janaba
 


Tumejadili sana hayo humuhumu JF, jisomee: Waislam wa Tanzania na tatizo la udini katika Wizara ya Elimu
 
Kwanza hongera sana kwa uzi mzuri dada faiza
Mimi nina maswali haya;
Umeolewa???

Una watoto wangapi???
Kabila gani au umetokea mkoa gani maana napenda sana post zako
Una watoto wangapi???
Inshaallah

Sijaolewa isipokuwa tumeoana na mume wangu.

Nimetokea Dar na Pwani.

AlhamduliLlah, watano.
 
Sina chuki na Joyce Ndalichako bali nnauhakika si kiongozi mzuri, alivurunda kama mkuu wa NECTA mpaka baadhi ya Waislam wa Tanzania wakaandamana kumkataa. Jikumbushe:

Waislamu wengi wakifaulu na makafiri wakifeli utampenda enhee?
 
Sijakupa masharti bali nimekupa darasa.
Hii haina tofauti na kusengenya.
Na hayo mafundisho ndio ujuzi wenyewe.
Kama huna ujuzi au elimu ya kuchangia hoja ni bora kukaa kimya!!!
Kikweli siwez kukaa kimya! Na naomba tuishie hapa maana tunakokwenda siko nilidhani nilitumia uungwana zaidi sasa kama unanilazimisha nikae kimya ntakuona mpumbavu sana
 
Umewahi kuingia katika ulingo wa siasa kugombea nafasi yotote? Je,ushawahi kuteuliwa kushika nyadhifa yoyote ya Kiserikali nchini mwetu?


Sijawahi kwa yote mawili.
 
Lakini uislam umekaa kimya.. Haukemei wazi wazi hili suala.. Vp maoni yako Kweny hili.


Uislam haujakaa kimya kwa baya lolote.

Sikiliza Radio Imaan ujisikilizie jinsi Uisla unavyokatazza na kukemea mabaya na kuamrisha mema siku zote, Pitia miskitini siku ya Ijumaa, hata kama hutaki kuingia ndani kaa nje ya msikiti usikilize Uislam unavyokataza mabaya na kuamrisha mema.

Nnakushangaa sana unaposema Uislam "umekaa kimya...haukemei". Ajib.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…