Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Unapata Faida Gani kushabikia Ugaidi?

Sijawahi kushabikia ugaidi na sitoshabikia ugaidi. Dini yangu hairuhusu hilo.

Wanasema "One man's terrorist another man's freedom fighter".

Hata Madiba nilimshabikia kabla hajafungwa kwa kuwa eti ni gaidi. Ni mtazamo wako tu na unavyoaminishwa.
 
Nini hekima ya kumkamua ngama maiti ule uchafu ukaiacha ufuoni chumbani na maiti ukaipeleka jalalani..[emoji106] [emoji4]
 
Aya ya pili ukiambatanisha na hayo mabango walobeba wenzio itakua sawa....ifike mahali watu muelewe wapo wenye uelewa wa haraka na wengine wana uelewa mdoooogo kama priton....so mmoja lazma awe nyuma ya mwenzie a little bit. Acheni mabango ya kijinga mueleweshe mpate kuelewa. Eti mtu mmoja aweze kuwafelisha waislamu

Mbona walikiri kuwa eti waliweka wrong command kwenye kompyuta ndiyo ikawafelisha?

Au hawajuwi kuwa wengine tunaelewa kuwa kompyuta ni dumb na itafanya utavyoiamrisha ifanye (program).

Walivyokiri hilo kosa nani alikuwa mkubwa wa NECTA? Na kwanini kwanza alikataa?

Unafikiri zile habari watu waliota kama anavyoota Lema? For your information, zilivuja kutoka hukohuko kwa Ndalichako ndiyo zikajulikana.
 
Nililenga hivyo lakini kama hauko hivyo basi unayaacha yapite, au unalo unalolitaka labda!?
Unatakiwa kuniomba radhi maana huo ndio uislam. Huwezi kuniita mm mzinifu wakati mm sina tabia hiyo.
Ata kama utamkuta mumeo juu ya kifua cha mwanamke Malaya bado huna haki ya kumuhukumu kwamba ni mzinifu, otherwise uwe na mashahidi waliotimia idadi inayotakiwa.
Sasa mimi hunijui ata kwa jina jee unapata wapi nguvu na ujasiri wa kuniita mimi mzinifu?
Niaombe radhi tafadhali maana umenichafua moyo wangu kwa kunihukumu mimi ni mzinifu!😉🙁🙁😡
 
Ukifika kwetu, uswahilini, hilo neno ni la kawaida sana tena tunaamini ni Kiswahili safi.

Darasa ni lile lenye vyumba vinne lipo shule rasmi. Darsa, ni hili tunalopeana hapa au pale ambapo si shule rasmi.

Kwa hiyo haya ni maneno mawili tofauti yenye maana tofauti?
Je ni nini asili ya neno darasa ulivyoita jengo/vyumba?
 
Unatakiwa kuniomba radhi maana huo ndio uislam. Huwezi kuniita mm mzinifu wakati mm sina tabia hiyo.
Ata kama utamkuta mumeo juu ya kifua cha mwanamke Malaya bado huna haki ya kumuhukumu kwamba ni mzinifu, otherwise uwe na mashahidi waliotimia idadi inayotakiwa.
Sasa mimi hunijui ata kwa jina jee unapata wapi nguvu na ujasiri wa kuniita mimi mzinifu?
Niaombe radhi tafadhali maana umenichafua moyo wangu kwa kunihukumu mimi ni mzinifu!😉🙁🙁😡
Naomba radhi Muungwana
 
Back
Top Bottom