Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

kwako faiza kupitia elimu uliyoipata canada je umewasaidia watu wangap kupitia career yako pili una kampuni yoyote inayodili na kile ulicho kisomea canada........
 
Well said labda mkuu unadhani siifahamu vyema nini maana ya janaba ngoja nikupe haya kwa kifupi sana -Janaba ni hali ya mwanamme au mwanamke kutoa maji (manii) katika uchi wake, hii yaweza kuwa kwa njia ya kuota ndoto au kujichezea chezea au kufanya mapenzi na mwenza wako

Je Mkuu balehe umeipata Leo!? Bila Shaka si Leo na kama ndivyo basi kwa kipindi kirefu sana umekua ukitembea na janaba, na umekuja kujifunzia hapa kwa Faiza, kama ndivyo ulikua ni mchafu usiyefaa Mbele ya Allah na ulikua hutekelezi ibaada zote ulizotakiwa kuziteleza na kama ulikua ukizitekeleza basi zilikua hazi swihi
NB. Usikimbilie kuoa au kuolewa bila ya kudodosa dodosa mafunzo ya ndoa si kila ndoa ya kiislam basi bibi na bwana harusi huwa hawapati mafunzo wengine tulipata na tunashukuru Yalitusaidia
Rudi darasani kasome dini yako vema mkuu.
Acha kupotosha jamii maana hii ni dhima mbele ya Allah kesho Akhera.
JANABA si kutoka kwa manii. Janaba ni kitendo cha uume kuingia kwenye uke. Ata kama manii hayakutoka hiyo inabaki kuwa janaba.
Again rudi darasani mkuu!
 
Abubakar wapo wengi, lakini kama unamaanisha Abubakar Abdallah Bin Quhafah As-Siddiq, huyu alikuwa ni swahaba na baba mkwe wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam kwa Bi Aisha na pia alikuwa Muislam wa kwanza kutangaza wazi Uislam wake wakati wa Mtume nje ya familia ya Mtume.

Licha ya hayo, pia alikuwa ni mshauri muaminifu wa Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam na kaja kuwa kiongozi mkuu (khalifa) wa Waislam wa kwanza baada ya Mtume.
Unamzungumziaje Aboubakar Shekau,aliyekua kiongozi wa kundi la bokoharam?
 
Rudi darasani kasome dini yako vema mkuu.
Acha kupotosha jamii maana hii ni dhima mbele ya Allah kesho Akhera.
JANABA si kutoka kwa manii. Janaba ni kitendo cha uume kuingia kwenye uke. Ata kama manii hayakutoka hiyo inabaki kuwa janaba.
Again rudi darasani mkuu!
Mimi na wewe nani anastahili akasome vizuri ! Eti si kutoka kwa manii haahaa Mkuu huo ni uongo wa kiwango cha juu na nakushauri ukasome vizuri ukaelewe usilopoke unajitia aibu kwa taarifa yako kama unajichezea uume mpaka ukatokwa manii fahamu tayari utakua na janaba na hakuna haja ya kunisha bisha waweza Google vitabu vya dini ili uongeze maalifa zaidi usijidanganye
 
Kwa sababu kuwa Muislam maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba aliyekuumba na wala si kujisalimisha kwa mtu aliyezaliwa. Hakuna kufaulu zaidi ya huko.
Nitamjuaje Muumba wa kweli aliyeniumba?
 
Kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya Kiarabu. Labda wewe unaona ni Kiarabu lakini ni Kiswahili, labda useme nnachanganya Kingereza na Kiswahili hapo ntakuelewa.

Nipe mfano wa wapi nimechanganya Kiswahili na Kiarabu?
Tuanze na hili la Kwenye kichwa cha mada.
Neno darsa? Ni darasa hata kama ni la kiarabu likiletwa katika kiswahili lazima lifuate taratibu za lugha ya kiswahili.
 
Mimi na wewe nani anastahili akasome vizuri ! Eti si kutoka kwa manii haahaa Mkuu huo ni uongo wa kiwango cha juu na nakushauri ukasome vizuri ukaelewe usilopoke unajitia aibu kwa taarifa yako kama unajichezea uume mpaka ukatokwa manii fahamu tayari utakua na janaba na hakuna haja ya kunisha bisha waweza Google vitabu vya dini ili uongeze maalifa zaidi usijidanganye
Sawa, mm ntarudi darasani kusoma ili nipate elimu zaidi.
Sasa nipe ushahidi wa uzinzi wangu, maana umeniambia mm ni mzinzi!
 
Mbona hujibu maswali yote? Usinge sema tukuulize maswali basi

Maswali yaliyopo ni zaidi ya 500 mpaka sasa hivi na yanaendelea na nnaendelea kuyajibu, kama unaona sijakujibu nnaomba niwie radhi na nieleze swali unalotaka nilijibu lipo post namba ngapi, ntalipa "priority".
 
Sawa, mm ntarudi darasani kusoma ili nipate elimu zaidi.
Sasa nipe ushahidi wa uzinzi wangu, maana umeniambia mm ni mzinzi!
Usipende League Mkuu kama wewe si mzinzi basi unakaa unatulia na kutafakari niliyokuelekeza, soma zaidi dini ukiielewa haitakupa shida ya kubisha bisha
 
Tuanze na hili la Kwenye kichwa cha mada.
Neno darsa? Ni darasa hata kama ni la kiarabu likiletwa katika kiswahili lazima lifuate taratibu za lugha ya kiswahili.

Ukifika kwetu, uswahilini, hilo neno ni la kawaida sana tena tunaamini ni Kiswahili safi.

Darasa ni lile lenye vyumba vinne lipo shule rasmi. Darsa, ni hili tunalopeana hapa au pale ambapo si shule rasmi.
 
Usipende League Mkuu kama wewe si mzinzi basi unakaa unatulia na kutafakari niliyokuelekeza, soma zaidi dini ukiielewa haitakupa shida ya kubisha bisha
Umeniambia niache uzinifu.
Sasa nipe ushahidi wa uzinifu wangu mkuu tafadhali.
Screenshot_2016-11-09-14-54-35.png
 
Back
Top Bottom