Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

1. Mara yako ya kwanza kugegedwa ulijisikiaje??

2. Je umeanza kugegedwa una miaka mingapi?

3. Ni kweli wewe ni bibi kizee cha turin??

4. Una mme watoto wangapi? Wajukuu wangapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo bibi ndo shida yake hyo.
Nilimuambia kuwa kila fani ina istilahi zake nikamtolea mfano neno waznu ni kama uzani tu.
Ila watu wa swarfu waznu wana maana yao na taratibu zao.yeye bibi alikataa akawa anadai wwznu ni uzito tu.hahhah
Nakufundisha sasa,tamko Hadithi kilugha ni Habari au masimulizi au jambo jipya, ila kiistilahi katika ulimwengu wa Kiislamu,hadithi ni masimulizi khasa ya mtume,ama kauli au vitendo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa maana hii bibi., Qur'an siyo maneno ya M/Mungu tuseme ni maneno ya mtume aliyoambiwa na M/Mungu.

ni sahihi kusema hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kutoa. maana kwa fikra zako. Soma...
Qur'an 39:

1. Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1


2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu. 2


3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri.
3
 
Wewe hujuwi maana ya hilo neno.

Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi za "adhabu ya kaburi'. Vipi?
 
1. Mara yako ya kwanza kugegedwa ulijisikiaje??

2. Je umeanza kugegedwa una miaka mingapi?

3. Ni kweli wewe ni bibi kizee cha turin??

4. Una mme watoto wangapi? Wajukuu wangapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yako yapo nje ya maadili ya Kiislam niliyofundishwa.

Naomba kuwa na heshima japo kidogo. Hujafundishwa heshima kwenu? Unaweza kumuuliza maswali hayo mama'ko?
 
Nakufundisha sasa,tamko Hadithi kilugha ni Habari au masimulizi au jambo jipya, ila kiistilahi katika ulimwengu wa Kiislamu,hadithi ni masimulizi khasa ya mtume,ama kauli au vitendo.

Unaanza kuelewa kidogo kidogo kuwa hakuna "hadithi ya Mtume" bali ni masimulizi tu ya watu wanamuongelea Mtume.

Heko.

Ongezea tu, yanaweza kuwa na ukweli, uongo, porojo au uzushi na siyo wahyi.

Umenifundisha Mimi wakati hayo ndiyo nnakufundisha siku zote humu. Nimefurahi leo darsa linaanza kukuingia. Keep it up.

Ingawa unaanza kuelewa maana ya hadith,hiyo haikuondelei hukumu la Amma kutubu kwa kutaka kuizulia Qur'an kuwa eti "ndani ya Qur'an kuna adhabu za kaburi" au leta Ayat ulizoahidi. Mwambie na mwenzako anaejiita safuher akusaidie. Nasubiri na wasomaji wanasubiri.
 
Nacheka sana,naona umekimbia maswali yangu.

Hatulei ujinga.


Kuna maswali naona umeyakimbia kama kawaida yako,rejea uyajibu.
 
Ni vipi ulithibitisha kuwa qur'an nikitabu cha m mungu? Na kitugani kilichokuaminisha hizo hadithi ni maneno tu! Yahao waandishi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vipi ulithibitisha kuwa qur'an nikitabu cha m mungu? Na kitugani kilichokuaminisha hizo hadithi ni maneno tu! Yahao waandishi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sababu ni nyingi sana kuwa Qur'an ni kutoka kwa Allah, lakini nakupa moja tu kwa sasa hivi.

Qur'an inatowa challenge Leo zaidi ya miaka 1400 ambayo hakuna aliyethubutu...

Qur'an 11:
أَمْ يَقُولُونَ افْتَرَاهُ ۖ قُلْ فَأْتُوا بِعَشْرِ سُوَرٍ مِّثْلِهِ مُفْتَرَيَاتٍ وَادْعُوا مَنِ اسْتَطَعْتُم مِّن دُونِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ - 11:13
13. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.
 
Ooh sawa naomba kujua kupitia Qurani pekee sala ya ijumaa iwe na rakaa ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ooh sawa naomba kujua kupitia Qurani pekee sala ya ijumaa iwe na rakaa ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujib wa Qur'an na "scientific calculations" za Qur'an salat zote zipo. Rakaa ni nne Kwa sala za mchana, kama kuna khutbah ya Ijumaa basi khutbah itachukuwa nafasi ya rakaa mbili na rakaa mbili mtaziswali kama unavyofanya fajr. Kama hakuna khutba ya Ijumaa basi utaswali rakaa 4 za adhuhur kama uswalivyo siku zote zisizo Ijumaa.

Naoenda ifahamike kuwa hapo swali tukikubaliana kuwa salat ilikuwepo kabla ya Mtume Muhammad kwa mujibu wa Qur'an.

Napenda pia ifahamike kuwa kuna njia ya kutambua chochote cha Kiislam kama kinaendana na Qur'an kupitia Qur'an yenyewe. Hili hi somo refu kiasi la kuifahamu Quran Kwa kupitia Qur'an yenyewe. na pia lina "confirm" "method" za salat.

Nakuwekea video hapa chini ambayo inaelezea salat zote na yanayohusu salat kupitia Qur'an pekee. Tafadhali itazame Kwa kujifunza, taratibu na usiifanyie haraka, si lazima uimalize kwa siku moja. Ni somo zuri sana...

 
Kwanza kabisa labda hujaissoma vizuri post namba moja. Ungekisoma ungekutana na kioande hiki...

"Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.".

Pilli maana ya neno "forum" katika "jamiiifoorums" ni; mahali, mkutano, au kati ambapo maoni na maoni juu ya suala fulani yanaweza kujadiliwa na kubadilishana mawazo.

"Thread" hii ni ya wazi kwa yeyote ingawa nimeianzisha mimi lakini kwa kanuni za "thread" za wazi hazinipi hati miliki kuwa ntayeulizwa ni mimi tu au ntayejibu ni mimi tu.

kama ulikuwa huyaelewi hayo nahisi sasa umeelewa.
 
haya umenukuu kutoka kwenye "maandiko", hayo maandiko ni M/Mungu aliyeyaandika kisha akakupa wewe uje uyabandike JF?

najua unafahamu ninachokuuliza kwa sababu uu mtu mzima na una ufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
siyo kweli kwamba sijasoma post no 1

kipande hicho nimekikuta.,

'swali' ulilouliza kwa akina Zurri na safuher ni wewe ulitaka uzifahamu Ayat hizo wala siyo mimi iweje unishangae mimi kutowauliza swali ambalo wewe ndiye mwenye hitaji na jibu lake?

kama ulivyosema 'faidika na darasa la FaizaFoxy ' haipendezi kuyaacha maudhui mazuri ya 'thread' kisha tukahamia kwenye maudhui 'tusiyofaidika' nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makusudio yangu nihivi "wewe huamini hadithi kuwa nimaneno ya mtume unasema nimaneno ya waandishi tu! Wakati huohuo unaamini qur'an nikitabu cha m mungu"hiyo aya uliyotoa kuwa niushahidi wa hiyo misimamo yako niyaqur'an ambapo wewe kama sijakosea unasema yametoka kwa mungu.

swali lipo hapo kwanini useme qur'an ni ya m mungu Wakati imeandikwa na waandishi,na hadithi ukatae kuwa si maneno yamtume wakati nazo wameandika waandishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana ukht,ila mimi nilichotaka ni aya katika Qurani moja kwa moja inayoeleza kuwa ijumaa iwe rakaa ngapi.na sikutaka maelezo ya mtu.
Kwa sababu tukisema tulete maelezo ya watu wanavyoelezea kuna watu pia kwa kutumia Qurani hiyo hiyo kuna aya wanazielezea kuwa zinaonesha kuwa na adhabu za kaburi japokuwa aya haikusema kuwa kuna adhabu ya kaburi.

Na huku nyuma kuna mtu aliziweka aya kuonesha adhabu za kaburi kwa kuweka na maelezo ila uliyakataa kwa sababu ni kweli aya hazikutaja. NENO ADHABU YA KABURI KWA hyo ulikuwa na haki hiyo ya kukataa maelezo.
Na kuna aya ulizitoa kuwa Qurani iko wazi sana kwa maana haihitajii maelezo mengi ya watu kuifafanua.

Mm nataka Aya inayoeleza kuwa ijumaa iwe na rakaa kadhaa kama ambavyo wewe ulitaka aya inayoeleza kuwa kuna adhabu za kaburi.
Maelezo nje ya Qurani kila mtu anaweza kuyatoa ila sasa turudi kwenye Qurani peker.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ni kweli kuwa hakuna aya imetaja wazi kuwa ijumaa iwe na rakaa kadhaa ndio maana yamekuwa haya maelezo?
Laiti ingelikuepo aya iliyoelezea hivyo je kungelikuwa na maelezo mengi badala ya kuweka hiyo aya tu dadaangu.?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…