ngokuro
Senior Member
- Mar 15, 2017
- 118
- 98
Bibi FaizaFoxy je unakataa dhana ya "Adhabu za kaburi" au unaikataa sentensi "adhabu ya kaburi" katka Qur'an?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakufundisha sasa,tamko Hadithi kilugha ni Habari au masimulizi au jambo jipya, ila kiistilahi katika ulimwengu wa Kiislamu,hadithi ni masimulizi khasa ya mtume,ama kauli au vitendo.
Huna haja ya kutoa. maana kwa fikra zako. Soma...kwa maana hii bibi., Qur'an siyo maneno ya M/Mungu tuseme ni maneno ya mtume aliyoambiwa na M/Mungu.
ni sahihi kusema hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujuwi maana ya hilo neno.Huyo bibi ndo shida yake hyo.
Nilimuambia kuwa kila fani ina istilahi zake nikamtolea mfano neno waznu ni kama uzani tu.
Ila watu wa swarfu waznu wana maana yao na taratibu zao.yeye bibi alikataa akawa anadai wwznu ni uzito tu.hahhah
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yako yapo nje ya maadili ya Kiislam niliyofundishwa.1. Mara yako ya kwanza kugegedwa ulijisikiaje??
2. Je umeanza kugegedwa una miaka mingapi?
3. Ni kweli wewe ni bibi kizee cha turin??
4. Una mme watoto wangapi? Wajukuu wangapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sielewi kama hiyo ni "dhana" au "itikadi" ya baadhi ya watu.Bibi FaizaFoxy je unakataa dhana ya "Adhabu za kaburi" au unaikataa sentensi "adhabu ya kaburi" katka Qur'an?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakufundisha sasa,tamko Hadithi kilugha ni Habari au masimulizi au jambo jipya, ila kiistilahi katika ulimwengu wa Kiislamu,hadithi ni masimulizi khasa ya mtume,ama kauli au vitendo.
Nacheka sana,naona umekimbia maswali yangu.Unaanza kuelewa kidogo kidogo kuwa hakuna "hadithi ya Mtume" bali ni masimulizi tu ya watu wanamuongelea Mtume.
Heko.
Ongezea tu, yanaweza kuwa na ukweli, uongo, porojo au uzushi na siyo wahyi.
Umenifundisha Mimi wakati hayo ndiyo nnakufundisha siku zote humu. Nimefurahi leo darsa linaanza kukuingia. Keep it up.
Hivi kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza ?Sielewi kama hiyo ni "dhana" au "itikadi" ya baadhi ya watu.
Binafsi nasema hakuna adhabu ya kaburi kwa kuwa sijaiona ikitajwa popote ndani ya Qur'an.
Ni vipi ulithibitisha kuwa qur'an nikitabu cha m mungu? Na kitugani kilichokuaminisha hizo hadithi ni maneno tu! Yahao waandishi?Huna haja ya kutoa. maana kwa fikra zako. Soma...
Qur'an 39:
![]()
1. Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1
![]()
2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu. 2
![]()
3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri. 3
Ni vipi ulithibitisha kuwa qur'an nikitabu cha m mungu? Na kitugani kilichokuaminisha hizo hadithi ni maneno tu! Yahao waandishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa naomba kujua kupitia Qurani pekee sala ya ijumaa iwe na rakaa ngapi ?Kwa kuwa salat ni jambo muhimu sana katika Uislam na kwa kuwa maswali yote yanahusu salat. Naomba uliza moja moja ili niweze kutoa majibu ya uhakika kwa kila kipengele.
Maana kuna salat aina kadhaa zimetajwa kwenye Qur'an kuna salat ambazo hazikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (PBUH) na kuna salat ambazo zilikuwepo kabla ya Mtume Muhammad (PBUH). Naomba twende taratibu.
Kwa mujib wa Qur'an na "scientific calculations" za Qur'an salat zote zipo. Rakaa ni nne Kwa sala za mchana, kama kuna khutbah ya Ijumaa basi khutbah itachukuwa nafasi ya rakaa mbili na rakaa mbili mtaziswali kama unavyofanya fajr. Kama hakuna khutba ya Ijumaa basi utaswali rakaa 4 za adhuhur kama uswalivyo siku zote zisizo Ijumaa.Ooh sawa naomba kujua kupitia Qurani pekee sala ya ijumaa iwe na rakaa ngapi ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza kabisa labda hujaissoma vizuri post namba moja. Ungekisoma ungekutana na kioande hiki..."Nnakushangaa sana, kwani watu walioizulia Qur'an na walioahidi kuleta ayat za Qur'an na hawazileti hauwaulizi chochote kuhusu hilo, unaniulza na kunifanyia "scrutiny" mimi nnaewapa jibu ya kila swali lenu. Ajiib."
huna haja ya kunishangaa kwakuwa muanzilishi wa 'thread' hii ni wewe na maudhui ya 'thread' ni maswali kuelekezwa kwako na pia majibu utoe wewe kwa yale ambayo unayaweza, pia yale usiyoweza wengine wenye ilmu nayo watayajibu.
Zurri na safuher wao niwaulizeje hali ya kuwa siyo wenye 'thread'?
usisahau kuwa hata wewe ulishaniambia kuwa 'yangu kwao technically siyo maswali'
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna haja ya kutoa. maana kwa fikra zako. Soma...
Qur'an 39:
![]()
1. Mteremsho wa Kitabu hiki umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye nguvu, Mwenye hikima. 1
![]()
2. Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa Haki. Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu. 2
![]()
3. Hakika Dini Safi ni ya Mwenyezi Mungu tu. Na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutujongeza tu kumkaribia Mwenyezi Mungu - Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo kafiri. 3
Kwanza kabisa labda hujaissoma vizuri post namba moja. Ungekisoma ungekutana na kioande hiki...
"Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.".
Pilli maana ya neno "forum" katika "jamiiifoorums" ni; mahali, mkutano, au kati ambapo maoni na maoni juu ya suala fulani yanaweza kujadiliwa na kubadilishana mawazo.
"Thread" hii ni ya wazi kwa yeyote ingawa nimeianzisha mimi lakini kwa kanuni za "thread" za wazi hazinipi hati miliki kuwa ntayeulizwa ni mimi tu au ntayejibu ni mimi tu.
kama ulikuwa huyaelewi hayo nahisi sasa umeelewa.
Sababu ni nyingi sana kuwa Qur'an ni kutoka kwa Allah, lakini nakupa moja tu kwa sasa hivi.
Qur'an inatowa challenge Leo zaidi ya miaka 1400 ambayo hakuna aliyethubutu...
Qur'an 11:
أَمْ يَقُولُونَ افْتَرَاهُ ۖ قُلْ فَأْتُوا بِعَشْرِ سُوَرٍ مِّثْلِهِ مُفْتَرَيَاتٍ وَادْعُوا مَنِ اسْتَطَعْتُم مِّن دُونِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ - 11:1313. Au wanasema: Ameizua? Sema: Basi leteni Sura kumi zilizo zuliwa mfano wa hii, na waiteni muwawezao badala ya Mwenyezi Mungu, ikiwa mnasema kweli.
Asante sana ukht,ila mimi nilichotaka ni aya katika Qurani moja kwa moja inayoeleza kuwa ijumaa iwe rakaa ngapi.na sikutaka maelezo ya mtu.Kwa mujib wa Qur'an na "scientific calculations" za Qur'an salat zote zipo. Rakaa ni nne Kwa sala za mchana, kama kuna khutbah ya Ijumaa basi khutbah itachukuwa nafasi ya rakaa mbili na rakaa mbili mtaziswali kama unavyofanya fajr. Kama hakuna khutba ya Ijumaa basi utaswali rakaa 4 za adhuhur kama uswalivyo siku zote zisizo Ijumaa.
Naoenda ifahamike kuwa hapo swali tukikubaliana kuwa salat ilikuwepo kabla ya Mtume Muhammad kwa mujibu wa Qur'an.
Napenda pia ifahamike kuwa kuna njia ya kutambua chochote cha Kiislam kama kinaendana na Qur'an kupitia Qur'an yenyewe. Hili hi somo refu kiasi la kuifahamu Quran Kwa kupitia Qur'an yenyewe. na pia lina "confirm" "method" za salat.
Nakuwekea video hapa chini ambayo inaelezea salat zote na yanayohusu salat kupitia Qur'an pekee. Tafadhali itazame Kwa kujifunza, taratibu na usiifanyie haraka, si lazima uimalize kwa siku moja. Ni somo zuri sana...
Kwa mujib wa Qur'an na "scientific calculations" za Qur'an salat zote zipo. Rakaa ni nne Kwa sala za mchana, kama kuna khutbah ya Ijumaa basi khutbah itachukuwa nafasi ya rakaa mbili na rakaa mbili mtaziswali kama unavyofanya fajr. Kama hakuna khutba ya Ijumaa basi utaswali rakaa 4 za adhuhur kama uswalivyo siku zote zisizo Ijumaa.
Naoenda ifahamike kuwa hapo swali tukikubaliana kuwa salat ilikuwepo kabla ya Mtume Muhammad kwa mujibu wa Qur'an.
Napenda pia ifahamike kuwa kuna njia ya kutambua chochote cha Kiislam kama kinaendana na Qur'an kupitia Qur'an yenyewe. Hili hi somo refu kiasi la kuifahamu Quran Kwa kupitia Qur'an yenyewe. na pia lina "confirm" "method" za salat.
Nakuwekea video hapa chini ambayo inaelezea salat zote na yanayohusu salat kupitia Qur'an pekee. Tafadhali itazame Kwa kujifunza, taratibu na usiifanyie haraka, si lazima uimalize kwa siku moja. Ni somo zuri sana...