Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Unavyokazana kung'ang'ania huyu bibi aamini hadithi ili awe Muislamu wa kweli inabidi tuanze na wewe kama unaziamini hadithi vyema,
Unaweza kukubali kulaaniwa kwa nge kwa sababu alimng'ata mtume wakati anaswali?
Unaweza kukubali kwamba ukikopa kwa riba umelaaniwa na Allah?
Unaweza kuiamini hadithi ya sahihi bukhari 4 54 460 na usiwe mbakaji?
Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali yangu yamekuzidi uwezo. Si una kataa hadithi bibie, sasa tulia uonyeshwe ya kuwa mtume alikuja na ufunuo wa aina mbiki, Qur'aan na Hadithi.
Sasa nakusaidia tu ya kuwa katika Tashahudi kuna dua na kikao hiki ni wajibu katika sala, kuna dua lazima uisome dua ambayo mtume ameifundisha kuomba juu ya mambo manne. Likiwemo la kuomba Allah atuepushe na fitna za kaburini.
Hili kimeisha. Huna uwezo nalo.
Kuhusu maelezo ya Bar'wan hatuyafanyii kazi sababu hayana ushahidi.
Sent using Jamii Forums mobile app