Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Unavyokazana kung'ang'ania huyu bibi aamini hadithi ili awe Muislamu wa kweli inabidi tuanze na wewe kama unaziamini hadithi vyema,
Unaweza kukubali kulaaniwa kwa nge kwa sababu alimng'ata mtume wakati anaswali?
Unaweza kukubali kwamba ukikopa kwa riba umelaaniwa na Allah?
Unaweza kuiamini hadithi ya sahihi bukhari 4 54 460 na usiwe mbakaji?
Maswali yangu yamekuzidi uwezo. Si una kataa hadithi bibie, sasa tulia uonyeshwe ya kuwa mtume alikuja na ufunuo wa aina mbiki, Qur'aan na Hadithi.

Sasa nakusaidia tu ya kuwa katika Tashahudi kuna dua na kikao hiki ni wajibu katika sala, kuna dua lazima uisome dua ambayo mtume ameifundisha kuomba juu ya mambo manne. Likiwemo la kuomba Allah atuepushe na fitna za kaburini.

Hili kimeisha. Huna uwezo nalo.

Kuhusu maelezo ya Bar'wan hatuyafanyii kazi sababu hayana ushahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"mtu anapulizwa matako kwenye salat" na nyie mnashangilia tu huo ujinga!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ushahidi ni Qur'an. Kakuzaba. Cha kikelb unatafuta pakutokea unataka ushahidi wa hadith za kutunga? Kwi kwi kwi teh teh teh.

Vipi Aya zako ukizoahidi kuleta za adhabu za kaburi kwenye Qur'an yamekushinda? Huwezi na hutoweza kuleta porojo ya adhabu ya kaburi ndani ya Qur'an.

Unaomba poo kwa kujidai utaleta Aya za hadith?

Aya za hadith zipo kibao ndani ya Qur'an lakini zote zinamaanisha Qur'an na hadith zilizo ndani ya Qur'an. Si vihadithi vyenu vya kishetani. Hivyo vimepondwa haswa ndani ya Qur'an na juu huko nilikuwekea aya hizo.

khaa! eti Mtume atowe hadith "mtu anapulizwa matako kwenye salat" na nyie mnashangilia tu huo ujinga! Nyie mtapigwa na laana kwa uzushi wenu na ombeni toba mapema msije kusema hamjaambiwa. Ndiyo maana mnawapa msemo wenye chuki na Uislam kwa vihadithi vyenu vya upuuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapa umedhihirisha kuwa wewe uko uchi katika Fani ya swarfu.huna ujualo.

Mpaka hapa naona mpaka jasho limeshakutoka kutafuta waznu wa neno kuowana na haujaupata.

Ujinga wako umedhihiri wazi kuwa unaongea mambo ambayo huyajui.

Katika fani ya swarfu neno waznu وزن linafahamika.
Kwa sababu kila fani wanamaneno wmbayo yako gofauti na fani nyingine na kwenye swarfu pia kuna waznu neno ambalo kiswarfu linafahamika.

Bibi nimekhitimisha kuwa hujui na ushahidi kuwa mpaka sasa hujaleta waznu.

Utakapoleta waznu nishtue tuendelee kujadiliana.
Acha porojo wewe.nimeshakupq darsa Sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya porojo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpaka hapa umedhihirisha kuwa wewe uko uchi katika Fani ya swarfu.huna ujualo.

Mpaka hapa naona mpaka jasho limeshakutoka kutafuta waznu wa neno kuowana na haujaupata.

Ujinga wako umedhihiri wazi kuwa unaongea mambo ambayo huyajui.

Katika fani ya swarfu neno waznu وزن linafahamika.
Kwa sababu kila fani wanamaneno wmbayo yako gofauti na fani nyingine na kwenye swarfu pia kuna waznu neno ambalo kiswarfu linafahamika.

Bibi nimekhitimisha kuwa hujui na ushahidi kuwa mpaka sasa hujaleta waznu.

Utakapoleta waznu nishtue tuendelee kujadiliana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo wewe.nimeshakupa darsa sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya vya porojo?

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
[FaizaFoxy] kwa kuwa uu muisilam na kwa amri ya M/Mungu ni fardh kwako kusimamisha swala.,

mafundisho ya namna ya kusimamisha swala yametoka kwa mtume (S A W) hayo madundisho ndiyo "hadith" je ulithibitisha vipi ya kuwa mafundisho hayo yalitoka kwake haliyakuwa hukuwepo wakati huo alipokuwa anayatoa?
Langu kwake "technically" siyo swali bali yeye aliahidi kunifundisha ayat za Qur'an zenye adhabu ya kaburi tena kasema zipo nyingi tu na mwenzake mmoja ajiitae safuher ni hilo hilo.

Sasa wanashindwa hawaleti na mimi nawafanyia istihzai, makusudi kabisa. Waelewe kuwa hicho kitu hakuna kwenye Qur'an.

Sasa wewe In Shaa Allah tumia fursa hii uulize hayo maswali ntakujibu.

Uliza upendalo, moja moja lakini ili tusichanganye mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"mtu anapulizwa matako kwenye salat" na nyie mnashangilia tu huo ujinga!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni ujinga kweli, safuher na zurri wanashangilia huo upuuzi wanawapa nyinyi msemo, makhaini wenzao.
 
[FaizaFoxy] kwa kuwa uu muisilam na kwa amri ya M/Mungu ni fardh kwako kusimamisha swala.,

mafundisho ya namna ya kusimamisha swala yametoka kwa mtume (S A W) hayo madundisho ndiyo "hadith" je ulithibitisha vipi ya kuwa mafundisho hayo yalitoka kwake haliyakuwa hukuwepo wakati huo alipokuwa anayatoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course, Mtume Muhammad kayaleta kupitia Quran.

Kwanza tuelewe kuwa Salat haijaanzia Kwa Mtume Muhammad, tunafahamishwa Katika Qur'an kuwa ilikuwepo zamani Sana na tunafundishwa kuwa amtume Muhammad alifunuliwa afate/tufate mila za Ibrahim...

Qur'an 16:
16_123.gif

123. Kisha tukakufunulia ya kwamba ufuate mila ya Ibrahim, mwongofu,wala hakuwa miongoni mwa washirikina

Na salat ilikuwepo tayari wakati wake...

Qur'an 21:
21_72.gif

72. Naye tukampa Is-haq, na Yaaqub kuwa ni ziada. Na wote tukawajaalia wawe watu wema. 72

21_73.gif

73. Na tukawafanya maimamu wakiongoa watu kwa amri yetu. Na tukawafunulia watende kheri, na washike Sala, na watoe Zaka; na walikuwa wanatuabudu Sisi tu.
73

Ili mjadala na darsa hili liwe na raha twende taratiibu, hapo nadhani imeshathibitika kutoka ndani ya Qur'an kuwa Salat haijaanzia kwa Mtume Muhammad.

Kama tumekubaliana hilo niendelee, au kama kuna maswali yoyote karibuni muulize kabla sijaendelea...
 
kabla ya kuendelea naomba uweke msingi wa hoja hiyo sawa kwamba kabla ya salat kuna "wito" ambao ni adhana hivyo kwa kuwa tunafuata mila ile ile ya ibrahim (A S).,

ni vyema basi ukauweka msingi huo sawa kuwa salat kipindi cha ibrahim (A S) ilitanguliwa na adhana
(makusudio ni marejeo ya kuthibitisha ya kuwa adhana ilikuwepo kipindi cha ibrahim A s)

Kwanza tuelewe maana ya adhan kuwa ni tangazo la kuita watu, hutumika kukumbusha watu waende wakaswali lakini pia hata kukitokea chochote cha muhimu (dharura) hutumika adhana kuwaita watu.

Na Allah kwenye Qur'an kisha litaja hilo...

Qur'an 9:
9_3.gif

3. Na ni tangazo kutokana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija Kubwa kwamba Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi Mwenyezi Mungu. Na wabashirie makafiri kuwa watapata adhabu chungu.
3

Neno"tangazo" hapo ukilisoma kwa Kiarabu utaona ni adhan Hijja ni katika mila za Nabii Ibrahim.

Pia adhan imetajwa tena ndani ya Qur'an...

Qur'an 62:
62_9.gif

9. Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.
9
 
FaizaFoxy, FaizaFoxy kwakuwa adhan ni wito ama "tangazo" la kuita watu kuswali,. "tangazo" hilo linatolewa kwa taratibu maalum kwa hiyo nipo sahihi nikisema adhan (tangazo) la kuita watu ktk salat lina taratibu zake za namna tutakavyoitana.

nakusudia siyo yeyote anaweza kwenda mahali pa kuswalia na kutoa adhan (tangazo) kwa namna anayoijua yeye,. zipo taratibu za kufuata na ipo namna ya kutoa "tangazo" hilo.

sasa basi taratibu hizo zinafuatwa kwasababu alizianzisha nani?

(rejea za mwanzilishi wa taratibu hizo tafadhali)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukileta waznu wa neno kuowana kwa kiarabu kwa mujibu wa swarfu utanitag.kama haujapata basi tuishie hapa.

Kama maswali unayoulizwa hujibu basi naona itakuwa tunabishana na hilo sio lengo.
Acha porojo wewe.nimeshakupa darsa sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya vya porojo?

Kwi kwi kwi teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapa kidogo niulize kwa mujibu wa Qurani sala ya ijumaa inatakiwe isaliwe rakaa ngapi @faizafoxy.Na je kwa mujibu wa Qurani pekee adhuhuri inatakiwa isaliwe rakaa ngapi?
Kwanza tuelewe maana ya adhan kuwa ni tangazo la kuita watu, hutumika kukumbusha watu waende wakaswali lakini pia hata kukitokea chochote cha muhimu (dharura) hutumika adhana kuwaita watu.

Na Allah kwenye Qur'an kisha litaja hilo...

Qur'an 9:
9_3.gif

3. Na ni tangazo kutokana na Mwenyezi Mungu na Mtume wake kwa wote siku ya Hija Kubwa kwamba Mwenyezi Mungu na Mtume wake hawana jukumu lolote kwa washirikina. Basi mkitubu itakuwa kheri kwenu, na mkigeuka basi jueni kuwa nyinyi hamumshindi Mwenyezi Mungu. Na wabashirie makafiri kuwa watapata adhabu chungu.
3

Neno"tangazo" hapo ukilisoma kwa Kiarabu utaona ni adhan Hijja ni katika mila za Nabii Ibrahim.

Pia adhan imetajwa tena ndani ya Qur'an...

Qur'an 62:
62_9.gif

9. Enyi mlio amini! Ikiadhiniwa Sala siku ya Ijumaa, nendeni upesi kwenye dhikri ya Mwenyezi Mungu, na wacheni biashara. Hayo ni bora kwenu, lau kama mnajua.
9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi hapa kidogo niulize kwa mujibu wa Qurani sala ya ijumaa inatakiwe isaliwe rakaa ngapi @faizafoxy.Na je kwa mujibu wa Qurani pekee adhuhuri inatakiwa isaliwe rakaa ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Swali lako zuri Sana lakini kabla sijakujibu naomba kuelewa kama umeisoma post yangu namba 3138.
 
Ukileta waznu wa neno kuowana kwa kiarabu kwa mujibu wa swarfu utanitag.kama haujapata basi tuishie hapa.

Kama maswali unayoulizwa hujibu basi naona itakuwa tunabishana na hilo sio lengo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo wewe, nimeshakupa darsa sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya vya porojo?

Kwi kwi kwi teh teh teh

Mazito hayo huyawezi, lazima utafute pakutokea.
 
Ukileta waznu wa neno kuowana kwa kiarabu utanitafuta,kuuliza waznu kwa kiingereza haitokufaidisha kitu.

Waznu katika swarfu wana maana yao,na wewe unapoleta maana ya waznu kwa kiswahili inavyotumika katika mambo mengine ni dhahiri hujui nilichokuuliza hivyo sishangai kubabaisha hapa.

Katika swarfu waznu ni kitu maarufu hakina maana kama ulivyozoea na kina taratibu zake.hapa tunazungumza kisheria ya swarfu na sio kilugha ya kawaida.

Kama ambavyo neno مرفوع lina maana yake kilugha ya kawaida unaweza kuwa ni kitu labda kilichonyanyuliwa kwa maana مفعول به.

Ila ukija katika nahwu neno مرفوع lina maana yake kiswarfu sasa ukileta maana ile ya kawaida itadhihirisha kuwa hujui jambo hilo.

Ndo mana nikasema swarfu hujaijua japo kwa uchache ndio maana unabisha,na mimi kubishana siwezi ndo mana nikarahisisha kuwa ukipata waznu nitafute.naona naumiza kichwa tu kumfahamisha mtu jambo ambalo hataki kufahamu.
Acha porojo wewe, nimeshakupa darsa sana kuhusu "wazn". Usidanganye watu hapa hiyo "waznu" yako tafsiri yake nini Kiswahili au Kingereza?
Wewe itakuwa
haujuwi unachotaka kuuliza umekazania "waznu", waznu".

"Wazn" = mizani (balance).

Kwa lugha zote za uandishi, iwe Kiswahili au Kiarabu au Kingereza, mizani unaipata kwenye mashairi au tungo zozote zile na kwenye muziki.

Sasa wewe unataka nikutungie mashairi na "waznu" yako?

Kijana huna ulijuwalo na ujinga wa kujifanya unajuwa ndiyo unajikosesha mengi sana ya ilm.

Mimi nasubiri ahadi yako ya kunipa Ayat za Quraan za adhabu ya kaburi. Umeahidi toka mwaka jana, mpaka leo hujaziona tu? Au hauna Qur'an una vitabu vya vya porojo?

Kwi kwi kwi teh teh teh

Mazito hayo huyawezi, lazima utafute pakutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nam ukhtyi nimesoma post hyo kuna aya umezibainishya kuwa sala ilikuepo hapo kabla ila hakuna idadi ya rakaa na hakuna kuwa kuna sala ya ijumaa kuwa ni rakaa ngapi.asa kwa kuwa sala ilikuepo tokea hapo lazima pia ilikuwa na idadi ya rakaa na kwa kuwa sala ya ijumaa imetajwa kwenye Qurani bila shaka lazima iwe sala maalumu yenye mavitendo maalum na rakaa maalum.
Ndo mana nikauliza sala ya ijumaa kwa mujibu wa Qurani pekee ina idadi ya rakaa ngapi,na sala ya ijumaa ina idadi ya rakaa ngapi?
NAKUBALIANA NAWE KUWA SALA ILIKUEPO HAPO KABLA.

Back
Top Bottom