Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Kama hauna muda uliza moja moja kila post, si lazima uyarundike yote post moja.
Google ninyenzo nzuri sana ya mtandao, naitumia sana lakini imeanza kupitwa na wakati, kuna nyenzo zingine zipo advanced zaidi.
Mengube hayo ni mawazo yako duni, sina sababu ya kupingana na mawazo yako.
Wahenga walisema "asili ya mtu duni huona vitendo vyake".
Wahenga wako hapo nawaunga mkono, wapo sahihi, si kwa mwanamke tu, hata mwanamne.Wahenga pia walisema”Mwanamke kujifanya mjuaji kila kitu ni mpumbavu kupitiliza na hafai”
Swali la 1.
Kwanini nyie mnyaazi mna uana kwa kigezo cha kumtetea Allah, ina maana Allah hawez kujitetea?
Wote na akili zetu timamu tuiname kugeukia jiwe ambalo tunadanganywa limeletwa na Mungu
Kuwa nanudtaarabu basi, huna sababu yabjutujejeli, sisi ni Waislaam siyi "mnyaazi".
Unajiita "nshomile" halafu hulitendei haki hilo jina.
Allah hatetewi na mtu, hatuna uwezo wa kumtetea Muumba wetu. Muelewe kidogo hapa:
Qur'an 2:255. Mwenyezi Mungu - hapana mungu ila Yeye Aliye hai, Msimamia mambo yote milele. Hashikwi na usingizi wala kulala. Ni vyake pekee vyote viliomo mbinguni na duniani. Ni nani huyo awezaye kuombea mbele yake bila ya idhini yake? Anayajua yaliyo mbele yao na yaliyo nyuma yao; wala wao hawajui chochote katika vilio katika ujuzi wake, ila kwa atakalo mwenyewe. Enzi yake imetanda mbinguni na duniani; na wala haemewi na kuvilinda hivyo. Na Yeye ndiye aliye juu, na ndiye Mkuu. 255
Una uzoefu mkubwa kwa hiyo dini yako kwa kuzaliwa, lakini je kwa nini hakuna viongozi wa dini wanawake katika kiislamu?AlhamduliLlah, nilizaliwa nikiwa Muislam, kama binaadam wengine wote. Toka nimepata akilibna kumbukumbu sijaacha kujisalimisha kwa Muumba wetu, Allah.
Ok angalau huja bisha wa kukubali .Yote yanawezekana, mitandao ya kijamii si lazima tujuwane, anaetaka kujulikana atakuja kama verified member.
Hata wewe sifahamunu mwanamke au mwanamme na sina haja ya kufahamu.
Kama u mkweli iweke hapa hiyo video tuione. Au umejazwa ujinga wa Hollywood ukakujaa?Nilijua huna akili kumbe walau zimozimo.
Sasa kama Allah hatetewi, kwanini ndugu zako wa huko Sudan,libya na syria wanafulululiza kuuawa.
Huwa naona video wanataja Takbirrrrrr Allah akbar huku wanamiminia risasi kwa raia.
Siwezi kudhani kisichokuwepo.Unadhani msimamo wako katika uislamu ungekuaje endapo ungezaliwa na wazazi wakristu?
Faizafoxy upo tayar kwa hili nislim leo nije nmuoe mjukuu wako wa miaka 9?Kama FF au Muislam yeyote yupo tayari nimuoe bint yake wa miaka 9 ajitokeze nislim.
Mi nataka mtoto kiislam sio masai nataka nikaoe kwa muislam ili nislimSheria za leo hazikubali, lakini mpaka leo kuna Wamasai wanaoozana chini ya miaka hiyo.