Nshomile wa Muleba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2015
- 2,166
- 5,620
Kama hauna muda uliza moja moja kila post, si lazima uyarundike yote post moja.
Google ninyenzo nzuri sana ya mtandao, naitumia sana lakini imeanza kupitwa na wakati, kuna nyenzo zingine zipo advanced zaidi.
Mengube hayo ni mawazo yako duni, sina sababu ya kupingana na mawazo yako.
Wahenga walisema "asili ya mtu duni huona vitendo vyake".
Wahenga pia walisema”Mwanamke kujifanya mjuaji kila kitu ni mpumbavu kupitiliza na hafai”
Swali la 1.
Kwanini nyie mnyaazi mna uana kwa kigezo cha kumtetea Allah, ina maana Allah hawez kujitetea?