Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,377
- 2,800
Mbona huvai juba sasa hiyo sio mavaz ya kustiri mwanamke usirudie tena iyo tabiaNishaanza mazoezi ya kusherehekea ushindi 👇🏾
View attachment 2638147
Usisahau corner bar Sinza. Baada ya mechi.
Watakua walijua anakosea wakamstiri kutokuandika sababu ni muhim na iyo ingeandikwa ili isibadrike na kizaz cha leo tufaidi toto za miaka 6 kama yeyeHayakuandikwa.
PakiJinjaNishaanza mazoezi ya kusherehekea ushindi 👇🏾
View attachment 2638147
Usisahau corner bar Sinza. Baada ya mechi.
Yaani hayo ndiyo yenyewe, hapa kwangu ndiyo kwake
Watu unaoonana nao mnakutana wapi?Huwa sionani na watu tunaokutana kwenye mitandao ya kijamii.
Hapana sijauelewa hauna kiswahili kizuri naonba unipe mtazamo wako usinipe referenceKuna uzi mzuri sana umefunguliwa hapa JF unaofundisha mambo mengi, mazuri na mabaya, kuhusu mahusiano ya mke na mume kwa mtazamo wa Muislam, upitie👇🏾
Bustani ya Manukato
Hiki kitabu mimi nilianza kukisoma cha Kingereza halafu nikakitafuta cha Kiarabu, kukisoma cha Kisrsbu nikakuta aliyekitafsiri kwa Kingereza kaacha mambo mengi sana. Sasa ngoja nikisome kwa Kiswahili, Natumai aliyetafsiri kakitendea haki. Haya ni maandiko adimu na adhimu sana. Namdhauri kila...www.jamiiforums.com
Kufirana si ipo kwenye sharia zenu maana sehemu wana sharia wenu walipo wengi kufirana ni jambo la kawaida.Tatizo hilo nalo pia lina ufumbuzi wake katika sharia. Wote wawili, mfiraji na mfirwaji wanahukumiwa pamoja.
Tanzania kwa sheria zetu, juzi tumeshuhudia kwenye vyombo vya habari anahukumiwa aliye lawitiwa tu, tatizo limebaki pale pale.
Mapungufu kama hayo yanaondolewa kwa kufata sharia.
Yote yaliyofichika kwa macho imani huyaona mfano.Pemba,Tanga,Tabora,na pwani yote.Weka ushahidi.
Miaka 9 miaka 1,400 iliyopita ni sawa kabisa. Mradi kaozwa kwa radhi ya wazazi wake, siyo ishu kabisa, usidanganyike.Watakua walijua anakosea wakamstiri kutokuandika sababu ni muhim na iyo ingeandikwa ili isibadrike na kizaz cha leo tufaidi toto za miaka 6 kama yeye
AlhamduliLlah, mimi sijawahi kuolewa.
Mimi nimeoana na mume wangu zamani na mpaka sasa mume wangu ni huyohuyo mmoja.
Sifungamani na kundi lolote la ugaidi na dini yangu hairuhusu ugaidi.
Waislam tunaamini bila ahadi yako ya kifo kufika, kama ilivyopangwa na Mweenyezi Mungu, basi hutokufa.Msimsingizie Mungu kwa Magufuli,he was poisoned!
Hayo maneno tu Mama,ata kwenye Kanga yapo.Rais wa nchi hafi kienyejienyeji, shughuli ndiyo kwanza inaanza!Waislam tunaamini bila ahadi yako ya kifo kufika, kama ilivyopangwa na Mweenyezi Mungu, basi hutokufa.
Mfano mzuri ni Lissu, kakandamizwa risasi kibao, lakini mpaka leo anadunda, tunasema "zake bado".
Mshairi anasema "anaekufa kwa upanga au kwa kingine chochote, zote ni sababu, hutofautiana, lakini kifo ni kimoja.
Kama zipi hizo nyenzo zingine?Kama hauna muda uliza moja moja kila post, si lazima uyarundike yote post moja.
Google ni nyenzo nzuri sana ya mtandao, naitumia sana, lakini imeanza kupitwa na wakati, kuna nyenzo zingine zipo advanced zaidi.
Mengine hayo ni mawazo yako duni, sina sababu ya kupingana na mawazo yako.
Wahenga walisema "asili ya mtu duni huona vitendo vyake".