Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Kuna uzi mzuri sana umefunguliwa hapa JF unaofundisha mambo mengi, mazuri na mabaya, kuhusu mahusiano ya mke na mume kwa mtazamo wa Muislam, upitie👇🏾

Hapana sijauelewa hauna kiswahili kizuri naonba unipe mtazamo wako usinipe reference
 
Tatizo hilo nalo pia lina ufumbuzi wake katika sharia. Wote wawili, mfiraji na mfirwaji wanahukumiwa pamoja.

Tanzania kwa sheria zetu, juzi tumeshuhudia kwenye vyombo vya habari anahukumiwa aliye lawitiwa tu, tatizo limebaki pale pale.

Mapungufu kama hayo yanaondolewa kwa kufata sharia.
Kufirana si ipo kwenye sharia zenu maana sehemu wana sharia wenu walipo wengi kufirana ni jambo la kawaida.
 
Watakua walijua anakosea wakamstiri kutokuandika sababu ni muhim na iyo ingeandikwa ili isibadrike na kizaz cha leo tufaidi toto za miaka 6 kama yeye
Miaka 9 miaka 1,400 iliyopita ni sawa kabisa. Mradi kaozwa kwa radhi ya wazazi wake, siyo ishu kabisa, usidanganyike.

Usilinganishe miaka 1,400 nyuma na leo.

Wewe miaka 50 mpaka. 100 tu nyuma huelewi bibi zako walitekwa wakiwa na umri upi, maanake kabla ya Uislam kuwaletea ndoa mlikuwa mnatekana tu.

Utamaduni ambao upo mpaka leo sehemu sehemu za Tanzania.
 
AlhamduliLlah, mimi sijawahi kuolewa.

Mimi nimeoana na mume wangu zamani na mpaka sasa mume wangu ni huyohuyo mmoja.

Sifungamani na kundi lolote la ugaidi na dini yangu hairuhusu ugaidi.

Masha’Allah ,Allah aendelee kukutunza dada ,nimeona uzi huu nikiwa nimecehelewa ila kuna mengi nimejifunza kwako na sasa nimekuelewa zaidi dada ni mtu wa namna gani .
 
Msimsingizie Mungu kwa Magufuli,he was poisoned!
Waislam tunaamini bila ahadi yako ya kifo kufika, kama ilivyopangwa na Mweenyezi Mungu, basi hutokufa.

Mfano mzuri ni Lissu, kakandamizwa risasi kibao, lakini mpaka leo anadunda, tunasema "zake bado".

Mshairi anasema "anaekufa kwa upanga au kwa kingine chochote, zote ni sababu, hutofautiana, lakini kifo ni kimoja.
 
Hayo maneno tu Mama,ata kwenye Kanga yapo.Rais wa nchi hafi kienyejienyeji, shughuli ndiyo kwanza inaanza!
 
Hayo maneno tu Mama,ata kwenye Kanga yapo.Rais wa nchi hafi kienyejienyeji, shughuli ndiyo kwanza inaanza!
Hata Nyerere mlisema kauliwa, msio na imani mnajulikana kwa lugha yenu tu.
 
Kama hauna muda uliza moja moja kila post, si lazima uyarundike yote post moja.

Google ni nyenzo nzuri sana ya mtandao, naitumia sana, lakini imeanza kupitwa na wakati, kuna nyenzo zingine zipo advanced zaidi.

Mengine hayo ni mawazo yako duni, sina sababu ya kupingana na mawazo yako.

Wahenga walisema "asili ya mtu duni huona vitendo vyake".
Kama zipi hizo nyenzo zingine?
 
Back
Top Bottom