Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Nadharia (theory) inabaki kuwa nadharia tu, siyo fact.
 
Je Faiza Fox anaunga mkono maandamano ya CDM kupinga miswada mitatu ya ovyo ya uchaguzi?
 
Nadharia (theory) inabaki kuwa nadharia tu, siyo fact.
Usizichukulie Nadharia kwa wepesi HUO! ... Nadharia zinasimikwa na facts na ndo mana zimeweza kututatulia matatizo kadha wa kadha ya kijamii, kisayansi, kitamaduni nk!
Nadharia zimetufikisha Mwezini na kwingineko anga za juu, zimetupatia tiba, zimetupatia nishati ya kiatomiki ... nk!
... NADHARIA YA 'EVOLUTION' NI FACT! 💥💥💥
 
Nimehamishia post yako huku, suala hili mahali pake ni huku, siyo kule kwenye nasaha za kijamii, juu kidogo hapo utamuona aliyelianzisha naye nimemuhamishia hapa.

Ntarudi kuliongelea, sasa hivi nimelihamisha tu.
 
Nakupa mfano wa ndoa zilizokuwepo kabla ya dini ya uislam na ukristo,1.Ndoa ya Yakobo(Israeli) na Lea 2.Ndoa ya Ibrahim(Abraham) na Sara 3.Ndoa ya Isaka na Rebeka,hizo ni ndoa zilikuwepo kabla ya ukristo na uislam na wote hao walikuwa ni waebrania
Hizo zilikuwa za kibabe tu, soma kijana utanielewa. Sharia za ndoa zimeanzia baada ya kuja Mtume Muhammad (Salla Allahu alyahi Wasalaam) na kuwa rasmi.
 
Hizo zilikuwa za kibabe tu, soma kijana utanielewa. Sharia za ndoa zimeanzia baada ya kuja Mtume Muhammad (Salla Allahu alyahi Wasalaam) na kuwa rasmi.
Sio za kibabe hata kidogo,nnaelewa nnachokwambia Kwamfano Rebecca na Isaka,Rebeka aliulizwa kama yupo tayari kuolewa na Isaka au la! Hata ndoa ya Yakobo ni hivyohivyo,utaratibu wa ndoa ulikuwepo hata kabla ya hizi dini za ukristo na uislam
 
Sisi tunaamini Yaakoub ni Muislam.
 
Muhammad alivyo mwambia allah amwingize mwingizo mwema alimaanisha mwingizo gani?
 
Sisi tunaamini Yaakoub ni Muislam.
Sawa sipingi unachoamini,ila kulingana na Biblia Yakobo ambae ni mtoto wa Isaka ni muebrania,jina lingine anaitwa Israeli (alipewa na malaika hili jina,linamaanisha mtu anaepigana kwa kumtegemea Mungu),alikuwa na watoto12 wa kiume ambao ndio makabila 12 ya Israeli,kwaiyo hao watoto wake ndio taifa la Israeli ya kale,kabila la Yuda ndio kabila ambalo Yesu Kristo alizaliwa ndiosababu anaitwa myahudi. Sorry uislam ulianza mwaka gani?
 
Uislam upo, hata mwadam wa kwanza duniani aliukuta.

Unajuwa maana ya neno Uislam?
 
Uislam upo, hata mwadam wa kwanza duniani aliukuta.

Unajuwa maana ya neno Uislam?
Sifaham maana yake,unamaanisha Adam alikuwa muislam? Na kwanini uislam unahusishwa na mtume Muhammad ambae yeye hakuwepo tangu mwanzo? Muhammad ni nan katika uislam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…