Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

 
mamdogo nimekukubali jinsi unavyojibu maswali kihekima najaribu kuona watu badala ya kuuliza maswali ya kujenga wao wanauliza maswali ya kukushambulia.. big up
 
unazungumziaje ahadi ya viwanda ya raisi itatimia kweli

Nnamatumaini makubwa itatimia , Kikwete alishasafisha njia kwa kutupatia wawekezaji waliovumbuwa NG kwa wingi sana, wawekezaji wa viwanda wanajileta wenyewe.
 
Mbona maandiko yako wazi kabisa kuhusu vyakula?
Au una sababu nyingine tofauti na ya kimaandiko?
 
Swali langu umeruka Kwa nini dunia nzima wanaopigana vita na vurugu ni Waislamu zaidi e.g. Libya,Somali,Yemen,Syria,Iraq,Afghanistan,Uarabuni nk.
 
Nililenga hivyo lakini kama hauko hivyo basi unayaacha yapite, au unalo unalolitaka labda!?
Omba radhi wewe binti wa kiislam, sio bure wewe ni aina ya wale mnaojiona wema na watakatifu kuliko wenzenu.

Kwa unafiki huo pepo hata harufu yake hutoisikia.

Kijana wa kiislam kaomba darsa kwa Faiza Foxy wewe unamwita MZINZI.

Anakuambia uthibitishe uzinzi wake unabwatabwata.

Ntakuchapa viboko sasahv.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…