Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

General Knowledge.

Naam, kama kichwa cha habari kinavyojieleza.

Natumia fursa hii ya mtandao adhyim wa JF kuwapa fursa wanamtandao wote wapate fursa ya kuuliza kuhusu mada au jambo lolote ambalo unataka upatiwe majibu.

Si majibu yote yatatoka kwangu binafsi, bali nitajitahidi iwezekenavyo kukupatia majibu murwa na yanayolingana na swali lako na ambapo sina jibu itakuwa fursa kwa wengine kutoa majibu.

Hapa ni kwa ajili ya kuelimishana na kujuzana bila kikomo, iwe swali lolote liwalo.
 
mamdogo nimekukubali jinsi unavyojibu maswali kihekima najaribu kuona watu badala ya kuuliza maswali ya kujenga wao wanauliza maswali ya kukushambulia.. big up
 
Trump mbele kwa mbele.

We don't drink poison we don't hang hang....Trump front front. We loved him ourselves
emoji3.png
emoji3.png
our choice ourselves....Let them read numerals eeeeh Trump front front......X2
emoji443.png
emoji446.png
emoji442.png
emoji441.png


Source: Hongera Donald Trump
 
unazungumziaje ahadi ya viwanda ya raisi itatimia kweli

Nnamatumaini makubwa itatimia , Kikwete alishasafisha njia kwa kutupatia wawekezaji waliovumbuwa NG kwa wingi sana, wawekezaji wa viwanda wanajileta wenyewe.
 
Sili nguruwe.

Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao”(Walawi 11: 7 – 8)

Vipi, wewe unakula nguruwe ilhali aya hiyo ya Biblia imekataza tena inasema wazi kabisa kuwa ni najisi?
Mbona maandiko yako wazi kabisa kuhusu vyakula?
shot_2016-11-10_02-18-32.png
Au una sababu nyingine tofauti na ya kimaandiko?
 
Swali langu umeruka Kwa nini dunia nzima wanaopigana vita na vurugu ni Waislamu zaidi e.g. Libya,Somali,Yemen,Syria,Iraq,Afghanistan,Uarabuni nk.
 
Nililenga hivyo lakini kama hauko hivyo basi unayaacha yapite, au unalo unalolitaka labda!?
Omba radhi wewe binti wa kiislam, sio bure wewe ni aina ya wale mnaojiona wema na watakatifu kuliko wenzenu.

Kwa unafiki huo pepo hata harufu yake hutoisikia.

Kijana wa kiislam kaomba darsa kwa Faiza Foxy wewe unamwita MZINZI.

Anakuambia uthibitishe uzinzi wake unabwatabwata.

Ntakuchapa viboko sasahv.

Sent from my GT-S7580 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom