Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa



Hakuna mahala amesema neno Jihad linakuwa "miss spelled" amesema neno jihad linakuwa "miss translated". Na ndicho nilichokueleza mimi kuwa maana ya neno Jihad ni kujitahidi.

Msikilie vizuri.
 
Hakuna uhuru wakumuuliza mtu mambo ya sirini kama hayo, wewe ukiulizwa mama yako alibikiriwa lini utafurahieeee, haya kama hujui kamuulize Mama yako uje utwambie
 
Staki kuamini kwamba kitabu cha dini kinaweza kuandikwa hivi, basi wale wanao chinja wenzao kwasababu wamefanya dhambi wanafanya kwa kufuata mafundisho haya


Maneno yepi? hebu ya "quote" kwa "context" yake.
 
Mie kwa sasa sina suali, ila nataka nikuambie tu kuwa ninajifunza mengi kutoka kwenye posts zako. Mola Akubariki kwa hilo.
I love you...
Hii ndiyo namna ya kujipambanua jinsi gani mtu amepevuka kiumri na kifikra, pamoja na kutofautiana na Faiza kwa mambo fulani fulani, lakini namkubali kwa kuonyesha ukomavu wa kiumri na kifikra.
Kuzivimilia hoja na maswali ya kuudhi na mengine ya matusi si kazi ndogo.

Hongera dada Faiza.
 
kwa maana hiyo,Isa sio Yesu.

Maana Maria mama wa Yesu alifuatwa na malaika mmoja kwa wakati mmoja.
 
Huyu mmama ni wa kipekee hapa Tanzania.

Alinifanya nijiunge JF baada muda mrefu wa kuwa mgeni,nilipoana anachokifanya humu nikasema ngoja nami niingie.

Namuona anavyolike post za watu hapa.
 
Hakuna uhuru wakumuuliza mtu mambo ya sirini kama hayo, wewe ukiulizwa mama yako alibikiriwa lini utafurahieeee, haya kama hujui kamuulize Mama yako uje utwambie
Uliza swali lolote, swali lolote...si ndio uzi ulivyo..[emoji47] [emoji15] mama yako alibikiriwa lini, jee unaye muuliza karuhusu umuulize swali lolote [emoji47] [emoji351] kwa nini unamtukana...[emoji47] wewe malezi uliyo lelewa sio mema..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…