Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Madam umeniingiza chaka[emoji23] [emoji23]
strawberry tunda mfano wa forosadi


Sikukuingiza chaka na huwa sikisii, furusadi nijuavyo ni tofauti kabisa na stroberi, jionee:

Stroberi (Strawberry)
Singular: Stroberi
Plural: Stroberi



strawberry-stroberi.jpg


Soma zaidi: Common Fruits in Swahili - Spoken Swahili
 
Bi Faiza...nimemsikiliza huyo jamaa anayetoa somo hapo kwenye video..ila sasa swali langu linakuja
Inakueje anasema 'jihad' limekuwa mis spelled...wakati..hakuna muislamu yeyote na yeye mwenyewe..waliokosoa maana ya neno jihad kwenye dictionaries za kiingereza...kua sio hivo..
Napia hata ukiangalia maana ya Jihad kwa encyclopedias...ina maana hiyo hiyo'islamic holy wars' hapo unasemaje?


Hakuna mahala amesema neno Jihad linakuwa "miss spelled" amesema neno jihad linakuwa "miss translated". Na ndicho nilichokueleza mimi kuwa maana ya neno Jihad ni kujitahidi.

Msikilie vizuri.
 
We tulia Mkuu,anayeulizwa hapa ni FF na kila.mtu ana uhuru wa kumuuliza swali lolote. We ungejua angemuuliza swali gani lingine baada ya kujibiwa? Kama angesema anayo,angeulizwa kama umejitunzaje mpaka sasa hujapoteza usichana wako? Hiyo pia ni general knowledge. Tulia mkuu na wala usipanic.
Hakuna uhuru wakumuuliza mtu mambo ya sirini kama hayo, wewe ukiulizwa mama yako alibikiriwa lini utafurahieeee, haya kama hujui kamuulize Mama yako uje utwambie
 
Staki kuamini kwamba kitabu cha dini kinaweza kuandikwa hivi, basi wale wanao chinja wenzao kwasababu wamefanya dhambi wanafanya kwa kufuata mafundisho haya


Maneno yepi? hebu ya "quote" kwa "context" yake.
 
Mie kwa sasa sina suali, ila nataka nikuambie tu kuwa ninajifunza mengi kutoka kwenye posts zako. Mola Akubariki kwa hilo.
I love you...
Hii ndiyo namna ya kujipambanua jinsi gani mtu amepevuka kiumri na kifikra, pamoja na kutofautiana na Faiza kwa mambo fulani fulani, lakini namkubali kwa kuonyesha ukomavu wa kiumri na kifikra.
Kuzivimilia hoja na maswali ya kuudhi na mengine ya matusi si kazi ndogo.

Hongera dada Faiza.
 
Pata ufafanuzi murwa kuhusu hilo, nnatuma lugha ya Kingereza unaifahamu:
.

The above Holy Verses (3:42-45) and (19:17-21) might look like they are contradicting each others from a simple fact that (3:42-45) talk about multiple angels, while (19:17-21) talk about one angel. However, there is no contradiction !. These two sets of Holy Verses took place at two different times.

Let us look at Ayah (verse) 3:47 "She said: 'O my Lord ! how shall I have a son when no man hath touched me?' He (the angel) said: 'Even so: Allah creath what He willeth: When He hath decreed A Plan, He but saith To it, 'Be,' and it is!'"
kwa maana hiyo,Isa sio Yesu.

Maana Maria mama wa Yesu alifuatwa na malaika mmoja kwa wakati mmoja.
upload_2016-11-10_8-57-39.png
 
Hii ndiyo namna ya kujipambanua jinsi gani mtu amepevuka kiumri na kifikra, pamoja na kutofautiana na Faiza kwa mambo fulani fulani, lakini namkubali kwa kuonyesha ukomavu wa kiumri na kifikra.
Kuzivimilia hoja na maswali ya kuudhi na mengine ya matusi si kazi ndogo.

Hongera dada Faiza.
Huyu mmama ni wa kipekee hapa Tanzania.

Alinifanya nijiunge JF baada muda mrefu wa kuwa mgeni,nilipoana anachokifanya humu nikasema ngoja nami niingie.

Namuona anavyolike post za watu hapa.
 
Hakuna uhuru wakumuuliza mtu mambo ya sirini kama hayo, wewe ukiulizwa mama yako alibikiriwa lini utafurahieeee, haya kama hujui kamuulize Mama yako uje utwambie
Uliza swali lolote, swali lolote...si ndio uzi ulivyo..[emoji47] [emoji15] mama yako alibikiriwa lini, jee unaye muuliza karuhusu umuulize swali lolote [emoji47] [emoji351] kwa nini unamtukana...[emoji47] wewe malezi uliyo lelewa sio mema..
 
Back
Top Bottom